Juventus Special Thread

Mnaikumbuka heading ya mwanzo ya hii thread? Ilikuwa inauliza "Will Juventus qualify for the Champions League?"

Nikashauri kwa nini isibadilishwe na kuwa Juventus Special Thread?

Tokea ushauri wangu kufanyiwa kazi naona siyo tena "Will Juventus qualify for the Champions League?" bali ni "Will Juventus win the Champions League?"

Watu tuna kismati ati! Cosmetic changes tuu wa uzi kumeifanya Juventus ipae.

Pirlo atacheza na glass ya wine?
 
Nilitamani sana tupangiwe hawa RM. Nikaomba game ya kwanza tucheze pale Turin. Yote yametokea kweli. Kazi imebaki kwa Alegri na kikosi chake, kuweka mikakati na kuwavua ubingwa hawa jamaa.

Naiona Juve ikielekea Berlin kwa fainali.

Ikitokea Juventus akiingia fainal nahisi nitaomba ban kwa furaha nitakayokuwa nayo.
 

Sina cha kubisha
Kwa Pirlo kucheza na glass ya wine sina uhakika, but the potential is there
 
Juve to final hii post iwe kumbukumbu tu kwa ushindi wa juve..
 
Ningefurahi sana kuona Juventus inachukua UCL cup after all these years, lakini bahati mbaya bi kizee kakaa kwenye reli ya mbogo aliyejeruhiwa, lazima ajali inamuhusu kwasababu hatuwezi kuvumilia Guadiola na mamluki wake wachukue sisi tukae tuangalie tu. Wazee wa marekodi wanataka kuwekwa kwenye kumbukumbu ya kuchukua 2 years in row.
 
Kwanza game ya kwanza inachezwa huku FloPe anaongea na Marotta kuhusu Pobga, wakija Madrid ndio anakuja moja kwa moja..
 
Nafurahi sana kuna wadau mnaanza kurudi kwenye huu Uzi. obwato, nimekuona baada ya kipindi kirefu. Mkuu EMT karibu tena jukwaani. Bado kina pachanya,
myao wa tunduru na C.E.O Viper na juve2012 na wadau wengine. Mje wooote.

Ahsante mkuu nilikua nasoma kama guest mara nyingi ila kwa hapa tulipofika lazima ujifunge kibwaya na kujumuika.
Nimefurahi sana kupangwa na watani zangu siku hiyo Mourinho na nyie wote team Juve mtalala mapema mno japo nakumbuka enzi za NEDVED mlikua mnaninyima raha sana lkn kwa sasa hamna uwezo huo Madrid anasonga fainali.
 
Last edited by a moderator:

Njozi za mchana hizo
 
FAINAL ni BARCA na MADRID, ishapangwa hiyo Mourinho, WATU WAPIGE HELA!!!!

Labda tu zitokee twists za hapa na pale, but i cant see Juve wakimstopisha Madrid neither Bayern kumstopisha Barcelona!!!

Dah!! i can see DIAZ winning Treble msimu huu, LFC walifanikiwa kumpa CARLING CUP tu, LOL!!!
 
Last edited by a moderator:

Mchambuzi wangu NGULI napingana na ww kwa hili!

Madridi WASIJIDANGANYE kama wanaenda kumtoa Juventus!Kambale hawa wakomavu wa Turin wanaweza mfunga team yyt kwa sasa hapa duniani

Kipa Buffon akilindwa na mabeki Bonuchi,Barzagli,Evra na Chiellin wanamuweza kabisa CR 7 na wenzake wasifurukute

Katikati hapo ndipo kwa asilimia kubwa Madrid watazidiwa sababu The Architec Pirlo karudi kwenye ubora wake huku Vidal.na Marchisio wakiwa tayari kumsaidia mkongwe huyu

Mbele hapo Tevez na Morata si watu wa kuwabeza,wanaweza mfunga yyt yule

Prediction:Juve vs Barca final
 
Last edited by a moderator:
Sina cha kubisha
Kwa Pirlo kucheza na glass ya wine sina uhakika, but the potential is there

The Archtec Andrea Pirlo:Nina bahati kuzaliwa karne hii kumshuhudia huyu fundi

Acheni masihara nyie,huyu mtu fundi hadi kapitiliza!Madrid wasijidanganye kama Pirlo watamuweza

Fainali:Barca vs Juve
 
Dah! Yasiin Bey ni moja kati ya rappers wanaojielewa sana,i bet ndio maana una-share nae Id, so sitegemei unaweza kuja na tuhuma kama hizo bila sababu za msingi. Hebu support ulichokisema kuhusu kupangwa fainali iwe Barca vs Madrid, labda tunaweza kukuelewa man.
 
Last edited by a moderator:

Bayern Munchen Vs Dortmund ndo ilikuwa UCL final yenye mafanikio makubwa kuliko Finals zote zilizopita, interms of Views (number of Viewers) and mostly kiuchumi.

So we mwenyewe unaweza ukafigure kwanini ilikuwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…