Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Kuna watu wana akili mbovu humu, eti UEFA wamemuonea huruma Juve!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamander bana, teh teh tehKuna watu wana akili mbovu humu, eti UEFA wamemuonea huruma Juve!
Nilitamani sana tupangiwe hawa RM. Nikaomba game ya kwanza tucheze pale Turin. Yote yametokea kweli. Kazi imebaki kwa Alegri na kikosi chake, kuweka mikakati na kuwavua ubingwa hawa jamaa.
Naiona Juve ikielekea Berlin kwa fainali.
Heri yako kijana, una moyo wa chuma.
Mtazamo wangu, juve wanakalishwa tena goli za kutosha ambazo zitafanya hata round ya pili isiwe na msisimko
Mnaikumbuka heading ya mwanzo ya hii thread? Ilikuwa inauliza "Will Juventus qualify for the Champions League?"
Nikashauri kwa nini isibadilishwe na kuwa Juventus Special Thread?
Tokea ushauri wangu kufanyiwa kazi naona siyo tena "Will Juventus qualify for the Champions League?" bali ni "Will Juventus win the Champions League?"
Watu tuna kismati ati! Cosmetic changes tuu wa uzi kumeifanya Juventus ipae.
Pirlo atacheza na glass ya wine?
Kwanza game ya kwanza inachezwa huku FloPe anaongea na Marotta kuhusu Pobga, wakija Madrid ndio anakuja moja kwa moja..Ningefurahi sana kuona Juventus inachukua UCL cup after all these years, lakini bahati mbaya bi kizee kakaa kwenye reli ya mbogo aliyejeruhiwa, lazima ajali inamuhusu kwasababu hatuwezi kuvumilia Guadiola na mamluki wake wachukue sisi tukae tuangalie tu. Wazee wa marekodi wanataka kuwekwa kwenye kumbukumbu ya kuchukua 2 years in row.
Nilitamani sana tupangiwe hawa RM. Nikaomba game ya kwanza tucheze pale Turin. Yote yametokea kweli. Kazi imebaki kwa Alegri na kikosi chake, kuweka mikakati na kuwavua ubingwa hawa jamaa.
Naona ndoto zako hazisubiri jua lizame hata kwenye daradara ukisinzia unaota tuu.
Naiona Juve ikielekea Berlin kwa fainali.
FAINAL ni BARCA na MADRID, ishapangwa hiyo Mourinho, WATU WAPIGE HELA!!!!
Labda tu zitokee twists za hapa na pale, but i cant see Juve wakimstopisha Madrid neither Bayern kumstopisha Barcelona!!!
Dah!! i can see DIAZ winning Treble msimu huu, LFC walifanikiwa kumpa CARLING CUP tu, LOL!!!
Sina cha kubisha
Kwa Pirlo kucheza na glass ya wine sina uhakika, but the potential is there
Dah! Yasiin Bey ni moja kati ya rappers wanaojielewa sana,i bet ndio maana una-share nae Id, so sitegemei unaweza kuja na tuhuma kama hizo bila sababu za msingi. Hebu support ulichokisema kuhusu kupangwa fainali iwe Barca vs Madrid, labda tunaweza kukuelewa man.FAINAL ni BARCA na MADRID, ishapangwa hiyo Mourinho, WATU WAPIGE HELA!!!!
Labda tu zitokee twists za hapa na pale, but i cant see Juve wakimstopisha Madrid neither Bayern kumstopisha Barcelona!!!
Dah!! i can see DIAZ winning Treble msimu huu, LFC walifanikiwa kumpa CARLING CUP tu, LOL!!!
Dah! Yasiin Bey ni moja kati ya rappers wanaojielewa sana,i bet ndio maana una-share nae Id, so sitegemei unaweza kuja na tuhuma kama hizo bila sababu za msingi. Hebu support ulichokisema kuhusu kupangwa fainali iwe Barca vs Madrid, labda tunaweza kukuelewa man.
Fainali itakuwa
Bayern Vs Juventus