Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

b5-click na Ntuzu karibuni nyumbani kwa Champions Elect wa UCL
Starting IX iko hivii;

ImageUploadedByJamiiForums1429034363.433673.jpg

#FORZAJUVENTUS
 
Last edited by a moderator:
Wajukuu,
namuombea sana bibi mzee huyu avuke mtihani wa Monaco ili tukutane semis ama final 4 a proper payback kwa mlichotufanyia miaka ya '00s.
Sincerely Madridista
Forza Juve.
 
Mpaka mvuke mtakua hoi... Hampiti aseeeh, nimemuona ninja wangu wa zamani anapiga mkoba... Carvalho

Utakuja kusema mmepita kwa mbiiinde, hivi Chelsea inacheza lini tena? 😂😂😂
 
Wajukuu,
namuombea sana bibi mzee huyu avuke mtihani wa Monaco ili tukutane semis ama final 4 a proper payback kwa mlichotufanyia miaka ya '00s.
Sincerely Madridista
Forza Juve.

Ahsante Machiavelli, una hamu ya kulipa kisasi cha ule mkwaju wa Maestro Nedved?
 
Half time. Game IPO 50/50. Juve tumeshindwa kutengeneza nafasi za maana. Nafasi nzuri ilikuwa dk ya 44 aliyopoteza Vidal. Na moja ya Tevenga aliyompa goalkeeper. Monaco wazuri aisee.
 
Wazuri... Ila wana defend sana Leo.. Na wamepoteza nafasi muhimu dk15 za kwanza.
 
Half time. Game IPO 50/50. Juve tumeshindwa kutengeneza nafasi za maana. Nafasi nzuri ilikuwa dk ya 44 aliyopoteza Vidal. Na moja ya Tevenga aliyompa goalkeeper. Monaco wazuri aisee.

Na imani vijana watatulia kipindi hiki na kutupa ushindi
 
Barzagli anaingia badala ya Pirlo, na hivyo kubadilisha mfumo, tunacheza 3-5-2 kwa sasa
 
Back
Top Bottom