Habari za siku kaka. Hongera kwa ushindi ila nna hamu tukutane maana ndio unaonekana uchochoro wa kunifikisha pale niendapo kiurahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za siku kaka. Hongera kwa ushindi ila nna hamu tukutane maana ndio unaonekana uchochoro wa kunifikisha pale niendapo kiurahisi.
pirlo atafika miaka 50 bado ana ubora wake ..kazi yake kubwa nikuzunguka ile duara pale na akishika mpira anauamuru uende anakotaka....
Kwanini Gatuso yeye alichoka mapema? Au Clarence Seedof? Maana hawa ndio walikua viungo hatari Wa Milan na mbele kidogo alikuwepo mdogo wao Ricardo Kaka!
Tunaenda semi, tumecheza mpira mbovu na kama Monaco wangekuwa makini wangepata ushindi. Kuna kazi kubwa sana mbele yetu. Barca, Bayern, na Real madrid, Hii ni miamba hapo ulaya.
huwa siamini ktk imani...
nina hakika Juve wataingia Final kwa kumdunda yeyote yule ajae mbele yake.
ktk haya mashindano najuwa wazi Juve wanaelewa thamani ya hatua ya Nusu Final...
Haya kaka tuombe uzima ntakuwepo jukwaani siku hiyo panapo uzima naona Gang Chomba anaongea bila akiba ya maneno kama kawaida yake.
Wajukuu
Mwisho wenu umefika, ila tutabaki kuwa ndugu, na sitashangilia kwa heshima niliyonayo kwenu. Kila la kheri.
Forza Juve next season.
Uefa wanajitahidi kuhakikisha fainali inakua kati ya Madrid Vs Bayern, hawajui sisi tuna mipango tofauti na hiyo