Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Midfielders wa Juve wamewazidi kete Barca
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja uje uone maajabu,weka tu akiba ya maneno,juve wako vizuri ila barca pia wako shkopa hizo zinaweza rudi na nyongeza juuKutegemea kuwafunga Juve nne bila nyumbani ni njozi ya saa sita mchana
ni dhahiri leo barca siyo sku yakoNgoja uje uone maajabu,weka tu akiba ya maneno,juve wako vizuri ila barca pia wako shkopa hizo zinaweza rudi na nyongeza juu
Radi hiyooooooo yapiga mara mbiliNgoja uje uone maajabu,weka tu akiba ya maneno,juve wako vizuri ila barca pia wako shkopa hizo zinaweza rudi na nyongeza juu
Leo wamezidiwa timing,lakin barca sio wakupigwa nje ndani kirahisi namna hyo,ingawa natamani juve wabebe ndoo safari hii.ni dhahiri leo barca siyo sku yako
sawa gem ya pili refa awe fair tuuLeo wamezidiwa timing,lakin barca sio wakupigwa nje ndani kirahisi namna hyo,ingawa natamani juve wabebe ndoo safari hii.
halaf suarez mwenyewe anajikuta hatuliiGiorgio Chiellin amemdhibiti vilivyo Suarez
hahah,muhimu ushindi tu,mikakati ya hapa na pale na figisu ni kawaida kwenye futbolu,vita ni vita muraa.sawa gem ya pili refa awe fair tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahah,muhimu ushindi tu,mikakati ya hapa na pale na figisu ni kawaida kwenye futbolu,vita ni vita muraa.