Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Kaka yangu chomba nipo bana shem wenu Kaja kutoka Montreal yupo likizo ya majira ya Baridi huku , basi Jf huwa nachungulia kwenye matukio muhimu inshaAllah shekh mwisho wa.mwezi ntarudisha. Majeshi ...

Alafu unakhabari nimelelewa abuja na kukulia sinza stars..???

Wakushi walinifundisha maisha Kipindi nasoma mashujaa pale, akini moyoni nilikuwa sinza stars damu ..

ah hah hah hah haaah Dah kwa hiyo ni mimi, Wewe na Gutierez ndo tumebahatika kukipiga Abajalo?
Kumbe ndio maana hata uchambuzi wetu ni wa kina na wenye ladha tofauti na wa Companero?
 
Jana ilikuwa hivi...
WALIANZA HIVI

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

WAKAMALIZA HIVI! JUVE WALIACHA MSIBA! NDANI YA CELTIC PARK!

x342.jpg

x342.jpg

x342.jpg

MWISHO UBAO ULIKUWA UKISOMA JUVE 3 CLETIC 0

x342.jpg

Nafurahi kuwaona Juve wamerudi Champions League kwa kishindo
 
ndugu yangu mi Italy adui yangu ni Inter tu...
Hawa akina Napoli na Juve ntapambana nao kwenye ligi tu...lakini nje ya hapo ni Cuzin zangu

mie ndo kabisaa.huu upinzani seria a tu.siku ile mlipopigwa na liverpool fainali stadio dragao nilibaki mgonjwa siku mbili kama huyo jamaa kwenye picha za viper!
 
Nafurahi kuwaona Juve wamerudi Champions League kwa kishindo
Hili chama oya oya mpaka fainali wanabianconeri wanaenda kunyanyua makwapa!huyu celtic ndo baba jen!ukweni tumemtia thalatha akija magetoni anakula hamsa tunasubiri kigoli mwingine tumfanye daraja la kwenda fainali
 
Hah hah hah haaah maneno kuntu hayo
 
Hili chama oya oya mpaka fainali wanabianconeri wanaenda kunyanyua makwapa!huyu celtic ndo baba jen!ukweni tumemtia thalatha akija magetoni anakula hamsa tunasubiri kigoli mwingine tumfanye daraja la kwenda fainali

And I wish tukutane na Barcelona on our way to glory ili Dunia ijue barca na Messi wao cjui Xavi na Iniesta ni cha mtoto mbele ya kina Pirlo, Matri, Vidal, Vucinic, Chielini and company.
Ave Bianconeri!
 
Roma Vs Juventus: Preview
February 15, 2013
Juventus head coach Antonio Conte is urging caution against a wounded Roma side who are desperate to win at the Stadio Olimpico tomorrow night.The Serie A leaders play their third game in eight days in the Italian capital having followed up a 2-0 win over Fiorentina with a decisive 3-0 victory at Celtic in the Champions League.Fatigue is the least of Conte's concerns, though, as he steels his players for a Roma backlash. The Giallorossi are without a win in six and slumped to ninth place with a 3-1 defeat at Sampdoria.Conte told juventus.com: ``It's never easy against Roma. The difficulty level of the match will be much higher even if some people are saying that the Giallorossi are struggling at the moment.``They have a quality set-up and, at the beginning of the season, they had lofty ambitions.``Some poor results saw (Zdenek) Zeman lose his job and (Aurelio) Andreazzoli take his place and I wish them both luck, but the quality of their players has not changed.``The extra motivation that playing Juve brings means this is a very important game for them.''Former France international striker Nicolas Anelka made his Bianconeri debut from the bench in Glasgow and he will hope to play a bigger part tomorrow.Defender Federico Peluso joins midfielder Claudio Marchisio on a one-match ban while Paolo De Ceglie, Giorgio Chiellini, Simone Pepe and Nicklas Bendtner continue to nurse injuries.Interim Roma boss Andreazzoli knows his players already have all the motivation they need to try and stifle Juve's title defence.The Tuscan, who takes sole charge of the Giallorossi at the Olimpico for the first time, admitted last week's experience at the Marassi cut deep.``We certainly felt it, and that fact means it is one of the few successes we've had this week. We most certainly felt it,'' he told La Repubblica.``Juve are a very strong team and I hold them in very high regard so we must pay meticulous attention. It remains to be seen if we can get a result.``Our objective is clear - to win the next game. We are trying to get out of this situation by getting good results from one week to the next, and then drawing a line under each one and moving on.``We need to be realistic and admit it will not be easy. I want to see a craftier and more cunning Roma performance. That is what we are working towards.''Andreazzoli will miss the injured quartet of defender Leandro Castan, midfielder Alessandro Florenzi and strikers Mattia Destro and Pablo Osvaldo.
 
unataka kuwakosesha usingizi wacatalunya wewe!ngoja gutierez akusikie!
 
Bado zimeumana huko...
Yangu macho huku najiia Gomba tu...
 
Shenzi type!sipendi timu isiyokuwa consistent.hawa juve vipi lakini?hivi roma hii ni ya kushindwa kuifunga dk 90 kweli na timu hii hii juzi wamempiga mwingereza 3 kwao?nina wasiwasi na saikolojia ya wachezaji wa sasa juve!pumbavu kabisa mss!
 
Patient please, patient man! Ave Bianconeri!
 
Shenzi type!sipendi timu isiyokuwa consistent.hawa juve vipi lakini?hivi roma hii ni ya kushindwa kuifunga dk 90 kweli na timu hii hii juzi wamempiga mwingereza 3 kwao?nina wasiwasi na saikolojia ya wachezaji wa sasa juve!pumbavu kabisa mss!

Teh teh nasikia wajukuu wamejamba leo?
 
kila mji una sheria na taratibu zake.
Ndio maana kuna miji ningine unaweza kula Mirungi hadharani na miji mingine huwezi.

Katika jiji la Roma ukipita kwenye mitaa iliopo katikati ya jiji hilo kisha ukapaza sauti na kumtukana ama ku,kashifu Francesco Totti ambaye leo kawananihii wajukuu wa Lavecchia Signora basi unatafuta balaa la kushtakiwa na kufungwa miezi 6 jela...
 
haya wahanga ikiwapendeza naomba mmwage mapicha ya mechi dhidi ya AS Roma
 
Bao la totti lilikuwa la hatari,refa kamaliza gemu kwa style ya yule refa wa rmadrid vs man utd
 
Shenzi type!sipendi timu isiyokuwa consistent.hawa juve vipi lakini?hivi roma hii ni ya kushindwa kuifunga dk 90 kweli na timu hii hii juzi wamempiga mwingereza 3 kwao?nina wasiwasi na saikolojia ya wachezaji wa sasa juve!pumbavu kabisa mss!

still we have the chance to take the serie a cup
 
Back
Top Bottom