Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Laazizi hebu twende PM ukanipe muhtasari ya yaliyojiri. Mi nshavua tayari....
daaah, una addiciton kama mhaya
manina walai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laazizi hebu twende PM ukanipe muhtasari ya yaliyojiri. Mi nshavua tayari....
na laiti angekuwepo pogba ndo angemuelewa pirlo ndio nani
Hata asipokuwepo kaka...gemu ya pili Madrid anakaa tena...
na usirudie kabisa kumfananisha pirlo na kroos.....Juve in control, we are out-classed. They deserve this. Sioni matumaini hapa, so najiachia mapema. Mwakani nikiwa bado na mizuka na muda tutawakilisha. Deuces!!
bale kapiga mpira mara 17 hadi anatolewa. aangalie anawezaondolewa na kocha wake wakikosa uefa na bbva
Na hapo disco halijakubali mbona.
na usirudie kabisa kumfananisha pirlo na kroos.....
tatizo kubwa la wapenzi wengi wa Madrid hapa JF ni armchair supporters,alaafu wakishasoma vi tabloid vya bure hujifanya wanajua mpira na wote naona wamekimbia-wasubiri kesho waone soccer inavyopigwa
Umeona eeh eti Ronaldo anamfokea anamuangalia tu cheki na hii faulo aliyofanyiwa Morata....
CC: Invisible
ndio timu za Spain walichofanikiwa ktk kutawala kwao soka
Truth be told, Juve wamecheza zaidi ya nilivyowapa credits. The better team thus far. My word on the ban still stands.
Kumbe Speed Ya Juve Ni Bure Japokuwa Kiungo Kwetu Hovyo
Laazizi hebu twende PM ukanipe muhtasari ya yaliyojiri. Mi nshavua tayari....
Hahaa Ramos owned Pirlo right there
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
pirlo vs kroos ni mbingu na ardhi