Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

watu wengine wanatoa maeleozo mareeefu kana kwamba wanajua kuchambua mpira...mtu anamlinganisha ''munsinyory'' pirlo na kroos..!!!! maajabu haya.....
 
Juve in control, we are out-classed. They deserve this. Sioni matumaini hapa, so najiachia mapema. Mwakani nikiwa bado na mizuka na muda tutawakilisha. Deuces!!
na usirudie kabisa kumfananisha pirlo na kroos.....
 
tatizo kubwa la wapenzi wengi wa Madrid hapa JF ni armchair supporters,alaafu wakishasoma vi tabloid vya bure hujifanya wanajua mpira na wote naona wamekimbia-wasubiri kesho waone soccer inavyopigwa

Harafu leo ulikuwa wapi we mwanamke?
 
Truth be told, Juve wamecheza zaidi ya nilivyowapa credits. The better team thus far. My word on the ban still stands.


Madrid si timu ya kuisumbua Juve...
hata ile Final ya Mijatovic ya mwaka 1998 ilikuwa ni ya bahati bahati tu.

na ndo maana Juve mara zote akimkamata huyu msichana anamnanihii mpaka mashuhuda wanasema sasa mbona bidada anabakwa...mapenzi gani haya sasa?
 
Hahaa Ramos owned Pirlo right there


Pirlo ni Maestro...
Pirlo hawezi kukabwa na mkoba.
pirlo kumfunika na kumsakafia ni ngumu mno, kazi hio walikuwa wanafanya akina Edger Davids, Veron na Emerson da Rosa Ferreira Dosantos
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
pirlo vs kroos ni mbingu na ardhi

Remember when we lost to 4-1 against Dortmund in the first leg of 2012-13 semi-final but our hopes were still alive even after conceding 4 goals in a single match. Sasa wewe maneno yako hayafanani na mpira, kama sio fani yako usilazimishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…