Juventus Wafurushwa UCL na wakurungwa wa Ureno, FC Portó, Braut Éiriling Haalanď aendelea kutakata tena!

Juventus Wafurushwa UCL na wakurungwa wa Ureno, FC Portó, Braut Éiriling Haalanď aendelea kutakata tena!

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Na mwandishi wetu;

Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea kutimua vumbi hapo siku ya jana kwa kupigwa michezo miwili hatua ya 16 bora,ambapo Miamba ya Italia Ilijikuta ikifurushwa baada ya kushindwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani (Turin).

Licha ya ushindi wa bao 3-2 kibibi kizee kimeaga mashindano kwa kufungwa magoli mengi nyumbani kwake tofauti na port waliofungwa goli 1 ureno.

Mechi nyingine mujarabu ilikuwa kati ya wataalam wa soka kutoka Uhispania wakifurumushwa na Mnorwey Braut baada ya kuwachabanga Mabao mawili. Licha ya Sevilla kuchomoa Goli hizo zote lakini hazikutosha kuwafanya waendelee na Michuano hiyo baada ya Matokeo ya jumla kusomeka 5-4.

Leo UCL itapamba moto tena kwa kuwakutanisha RB Reibzig kutoka Ujerumani watakaopambana na Majogoo wa London ambao wanafaida ya mabao 2 kwa nunge.

Wataalam wa kucheza soka Duniani Baŕcelona watakuwa ugenini kutimiza ratiba katika Michuano hiyo baada ya mechi ya kwanza iliyochezwa machinjioni Nou camp kuwachinja wenyeji hao bao 4-1 dhidi ya soft player kutoka Parć de Princes (Paris st German) Muda:saa 5 usiku

Je, Barca ataweza kufanya ya 2017?

Ipi nafasi ya Liverpool?

(Sitoi utabiri leo coz nimestaafu kwa muda!!!😂)

# Magema Jr

#Sportsfire109.5kahama
 
Back
Top Bottom