JUVENTUS WAMEVINJA RECORD

JUVENTUS WAMEVINJA RECORD

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Juventus ndiyo timu ya kwanza katika ligi tano bora Serie A, La Liga, Bundesliga, Ligue 1 na Premier League katika historia ya kushinda ubingwa wa ligi ya Italy serie A misimu nane (8) mfululizooo [emoji471] 2011/12
[emoji471] 2012/13
[emoji471] 2013/14
[emoji471] 2014/15
[emoji471] 2015/16
[emoji471] 2016/17
[emoji471] 2017/18
[emoji471] 2018/19
 
huyo mtu bora (JUVE) kachomolewa na walio bora zaidi yake UEFA


Hawezi akabakia kuwa bora ,labda uko kijijini kwake italy
 
Kufa kwa AC Milan Na inter
Kulikufa pamoja Na lig yenyewe

cjui nakomemt wapi
 
Back
Top Bottom