Juventus watangaza tiketi za msimu ujao zimenunuliwa zote baada ya ujio wa Ronaldo

Mkuu kuna mtoano, kuna robo final, na nusu final. Wanajuaje kama watafika?
ukinunua hiyo ticket ni kwa mechi zote zimejumuishwa mkuu hawaangalii mechi moja moja we ukishanunua hiyo mashindano yote timu itayoshiriki unaingia free., sasa timu ikitolewa mapema bahati yako mbaya...ni kama kununua beli la mtumba hujui uko ndani nguo n nzima au mbovu
 
Hapo sawa
 
Haa haa haa aiseee hii n noumaa
 
Kibibi kizee (Juventus) kimenunua mchezaji mzee! Ni suala la muda tu waanze kujuta!!!!!
 
Back
Top Bottom