Jux aachana na Vanesaa Mdee

Hizo kiki labda jux anataka kuachia wimbo
 
Haha... sema huyo jamaa namjua anajua ngeli saana ndiyo maana sijaamini.

Hivi Vanessa alikuwa demu wake jux?

Ha ha ha wanajuana wenyewe na mahaba yao ila nahis walikua washkaj so kumegana ile kisela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…