Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa.
[emoji102]Eat and run
Hivi ni hit and run au EAT AND RUN?
Wange concentrate na HOMONYMS or HOMOPHONES na sio kila mara ku deal na SYNONYM. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha Mkuu umeacha watu hoi leo
Ni shilawadu ndio wanasema na Vanessa inasemekana alikuwa anachepuka kabla
Hapo ingekuwa kwenye foni/kuongea/sauti hata hakuna ambae angekustukia. Sasa tatizo maandishi ulishayawekaWange concentrate na HOMONYMS or HOMOPHONES na sio kila mara ku deal na SYNONYM. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo ndio tunaprove, wabongo tuko njema kwa english ya kuandika kuliko kuongea.Hapo ingekuwa kwenye foni/kuongea/sauti hata hakuna ambae angekustukia. Sasa tatizo maandishi ulishayaweka
[emoji16][emoji16][emoji16] hasa wewe.Hapo ndio tunaprove, wabongo tuko njema kwa english ya kuandika kuliko kuongea.
Hahahaha mkuu mi vyote ni ovyo.[emoji16][emoji16][emoji16] hasa wewe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ni sawa hujafung zipu halafu umetembea ofisin kote hujajua
nimeona hata me[emoji16][emoji16]kumbe mnapita kimya kimoyomoyo mnasonyaa Mungu is watching you hasa wewe.
[emoji3][emoji3][emoji106][emoji106][emoji106]nimeona hata me
Yote sawa tu,Kula na kukimbia na kupiga/kugonga/kupasua/ile ndude na kuanza mbele.Hivi ni hit and run au EAT AND RUN?
Hit and run ni kwa madereva sio ma lovers.Hivi ni hit and run au EAT AND RUN?
Hivi ni hit and run au EAT AND RUN?
haaaaa haaaa haaaaa eat and run 😱😱😱😱Nitaendelea kuamini umekusudia kuandika hivyo
Kweni hapo hakuna maana vyote ni sawa tu.Hivi ni hit and run au EAT AND RUN?
Hahahahhaa jf rahaaaa mtu kaundiwa kamati ya maadili[emoji16][emoji16] ulisha kaa uchi mbele za watu halafu wewe hujui umesimama unajiona upo perfect?