Anna ndali
Senior Member
- Apr 24, 2017
- 107
- 95
Thamani ya mtu inaonekana asipokuwepo, ndio kila unapopita unasema afadhali yuleyule. Na mwanamke ameshaanza maisha mengine na furaha tele kama picha inavyosomeka.
true nigga!Mapenzi Yanaanza kama safari ila yana nguvu ni hatari.
Hahaha definitely you are right!U we dont know wat we got until we lose it
invest what you are willing to lose
Uwii, sio vzr kuita wenzio malimbukeni. Tunachangia kilchopo mbele yetu. Kama unaujua ukweli ni vzr ungesema kistaarabu.Huyo aliyezungumziwa ni Jackie Cliff..Dem wake aliyefungwa China mwaka 2014...Sio Venessa bwanaa... Naona J furumz imejaa malimbuken .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi y KISELA yapoje mkuu?Vanesa alikuwa mtu muhimu kuliko mtu yeyote kwake?! Kwani Jux huna wazazi?! Any way hilo ni funzo ukimpa mwingine ukampenda usifanye tena mapenzi ya KISELA..
Samahan kwa hilooo... Nilitumia neno lisilofaa na so wajua j forums haina edit option ...samahanUwii, sio vzr kuita wenzio malimbukeni. Tunachangia kilchopo mbele yetu. Kama unaujua ukweli ni vzr ungesema kistaarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea alimpenda kiasi gani? Sio kusimamisha kichwa cha chini tuMwanamume wa kweli na ' anayesimamisha ' vizuri ' mnara ' wake ' Babeli ' 24/7 huwa hamlilii Mwanamke