Jux amlilia Vanessa Mdee

Jux amlilia Vanessa Mdee

3a673231f1ed8a568e4e3f47d0de8c2a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona anajaribu kutengezea mazingira ya kuonewa huruma ili na yeye apate views nyingi kwenye kivideo chake kipya kule youtube....janja ya nyani.
 
Wabongo mna diss, msela anaumia jmn...vipapuchi vya watoto wembamba huwa vitamu balaa!
 
Kiki ya wimbo wake mpya "Utaniua".....Mshauri atoe picha za kitandani za Vanessa ndio Kiki yake itatiki
 
Vanesa alikuwa mtu muhimu kuliko mtu yeyote kwake?! Kwani Jux huna wazazi?! Any way hilo ni funzo ukimpa mwingine ukampenda usifanye tena mapenzi ya KISELA..
Mapenzi y KISELA yapoje mkuu?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom