Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Jux anajua kubembeleza na kuomba msamaa mpaka mtoto kanyanyua mikono juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipenda sauti na vile vionjo vyake kwenye nyimbo zakewizi mtupu, wanatuletea mapicha picha tu
kuna mtu anataka kuoa mtu wangu nacheka sana maana ntampigia mpaka ajute.Wapenzi huwa hawaachani, wanapumzishana tu. Hata ukijiingiza kichwakichwa lazima usomeshwe namba
Duuh mkuu... Kama huna mpango w kumuoa huyo Dada mwache aolew na usijisifu kumdinyia mwanamme mwenzako...karma is not a liar ..she keeps receiptskuna mtu anataka kuoa mtu wangu nacheka sana maana ntampigia mpaka ajute.
yawezekana hata mimi kuendelea kumkaza huyu mtu ata akiolewa ni karma pia kwa jamaa wacha nimpe stahiki yake alipe karma kwa aliyo yafanya na yeye nyuma.Duuh mkuu... Kama huna mpango w kumuoa huyo Dada mwache aolew na usijisifu kumdinyia mwanamme mwenzako...karma is not a liar ..she keeps receipts
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo bahati nzuriyawezekana hata mimi kuendelea kumkaza huyu mtu ata akiolewa ni karma pia kwa jamaa wacha nimpe stahiki yake alipe karma kwa aliyo yafanya na yeye nyuma.
nikiacha kuyafanya ntazuia karma upande wake pia, nami ntaisubiri zamu yangu
Sana mwanamke anahitaji kubembelezwa na kudekezwaBila kubembeleza mwanamke hauwez kudum nae
[emoji23] [emoji23] [emoji23]yawezekana hata mimi kuendelea kumkaza huyu mtu ata akiolewa ni karma pia kwa jamaa wacha nimpe stahiki yake alipe karma kwa aliyo yafanya na yeye nyuma.
nikiacha kuyafanya ntazuia karma upande wake pia, nami ntaisubiri zamu yangu