Jux apewe ajira ya kuwa mwalimu chuoni (lecturer), anafaa kuwa balozi wa kuwapa moyo vijana wasiache elimu kwajili ya usanii

Jux apewe ajira ya kuwa mwalimu chuoni (lecturer), anafaa kuwa balozi wa kuwapa moyo vijana wasiache elimu kwajili ya usanii

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
1664715025384.png


Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki.

Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux.

Serikali iliangalie hili jambo maana kuna vijana mashuleni wanachizika na usanii na kukatisha ndoto zao za kielimu. Wanafunzi wengi wakianza kupata umaarufu kidogo tu hata kwa level ya mtaani wanapuuza elimu na kuweka umakini kwenye muziki.

hii italeta mwamko hata kwa baadhi ya wasanii watumie mapato wanayopata kutoka usanii, wayatumie kujiendeleza kielimu kama wana sifa za kujiendeleza kielim. Vyuo vingi kusomea diploma unahitaji D 2 tu na kuna wasanii kibao wanazo.
 
Njia ya kufikia mafanikio ama ndoto za kila mmoja zinatofautiana sana

Incase you don't know it's God's plan
 
Tuwe serious.

hawa wadogo zetu wengi wanatuiga sisi wakubwa

dogo akimuona msanii hana elimu nae anahamasika apuuze shule, huu mzizi inabidi ukatwe kwa wadogo zetu wakianza kumuona kaka yao kafanikiwa kimziki na ni mwalimu chuoni wataanza kujenga mindset positive.
 
Una uhakika ana moyo wa kugawa kwa wanachuo? Unaijua kazi ya moyo?
 
Labda wamuajiri ticha konde akawafundishe amapiano🐒
 
Unazani Nyerere angekuwa na yeye ni msanii kama jux watz wangekuwa wapi? Maana na yeye pia n mwalimu alikuwa
 
Back
Top Bottom