Jux apokelewa Nairobi kama Uhuru,mitaa kadhaa ilifungwa

Jux apokelewa Nairobi kama Uhuru,mitaa kadhaa ilifungwa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Naona vijana wanazidi kutisha tu kila kukicha,mapokezi aliyopata Jux Nairobi ni balaa ,ni kama ya rais Uhuru,full ulinzi msafara wa magari kadhaa,ni wanje wanje.
Watanzania wenzangu tusiwachukulie poa hawa wasanii wetu.
 
Nimeifuata hiyo video nishindwa kuunganisha na ulichokisema hapa, sikatai kunao wasanii wa Kibongo wanaopendwa Kenya, lakini hawa mnaotutajiaga humu kwa kweli hawana huo mvuto Kenya. Huyu Jux naufahamu wimbo wake mmoja tu alioimba na Vanessa Mdee.
Wasanii wenu huku kwetu tunawalea sio maskini kama nyie mnamuibia Diamond chain

Hii hapa video unayozungumzia kuhusu kuopkelewa kwa Jux www.instagram.com/p/BqmOkd9nowi/

Hii video ya mlivyomuibia Diamond chain
 
Maskini ni maskini tu, sa zile Wakenya wanamuibia Sean Paul watanzagiza wanamubia maskini diamond tena ni mwenzao.
 
Maskini ni maskini tu, sa zile Wakenya wanamuibia Sean Paul watanzagiza wanamubia maskini diamond tena ni mwenzao.

Hawa wezi sana, angalia walivyokamatwa Malawi

img-20181123-wa0001-jpeg.943365
 
Wakenya ni washamba... Yaani kwenu hata HAMORAPA mtampokea kama wiliam Ruto sisi wasanii waliofulia kwenu ndio lulu, mfano mr nice, saida kalori, Rose mhando, tengenezen wasanii wenu siyo mnaanza kujifanya diamond anatokea kwenu washamba nyie
 
Tanzania is on hardtime at the moment that why you see many Tanzanians migrate to USA ,South Africa ,Malawi and other country for green pastures
 
Maisha yakikushinda Tanzania . Basi utakuwa kilaza wa kutupwa. Mfano aje Kenya ataanzia wapi .
Watanzania hawawezi kuja kwenu Kenya because Kenya is poor country too @ watanzania wanaenda developed country and emerging country mfano kule Brazil nilikutana na watanzania wengi mno # kwa Africa watanzania tunaenda sana nchi zilizo ktk jumuiya yetu ya SADC siyo EAC
 
Nimeifuata hiyo video nishindwa kuunganisha na ulichokisema hapa, sikatai kunao wasanii wa Kibongo wanaopendwa Kenya, lakini hawa mnaotutajiaga humu kwa kweli hawana huo mvuto Kenya. Huyu Jux naufahamu wimbo wake mmoja tu alioimba na Vanessa Mdee.
Wasanii wenu huku kwetu tunawalea sio maskini kama nyie mnamuibia Diamond chain

Hii hapa video unayozungumzia kuhusu kuopkelewa kwa Jux www.instagram.com/p/BqmOkd9nowi/

Hii video ya mlivyomuibia Diamond chain
Ni wasanii wepi hao wa kibongo wakija huko mnawehuka kwa shangwe?
 
Ni Jux huyuhuyu ninae mjua mm au yupi unaemzungumzia
 
Eti tufunge mitaa kisa msanii wenu amukuja, hehehehe....
Hawa watani wetu wanapenda sana kiki ndombolo, kama zile za makondakta wa matatu za kuenda vijijini ndaaaniii, kule Nkaimoronya. [emoji23]
 
Tanzania is on hardtime at the moment that why you see many Tanzanians migrate to USA ,South Africa ,Malawi and other country for green pastures
Kuna wamarekani wanahamia hapa bongo wewe mkibera
 
Back
Top Bottom