MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Maskini ni maskini tu, sa zile Wakenya wanamuibia Sean Paul watanzagiza wanamubia maskini diamond tena ni mwenzao.
Maisha yakikushinda Tanzania . Basi utakuwa kilaza wa kutupwa. Mfano aje Kenya ataanzia wapi .Tanzania is on hardtime at the moment that why you see many Tanzanians migrate to USA ,South Africa ,Malawi and other country for green pastures
Watanzania hawawezi kuja kwenu Kenya because Kenya is poor country too @ watanzania wanaenda developed country and emerging country mfano kule Brazil nilikutana na watanzania wengi mno # kwa Africa watanzania tunaenda sana nchi zilizo ktk jumuiya yetu ya SADC siyo EACMaisha yakikushinda Tanzania . Basi utakuwa kilaza wa kutupwa. Mfano aje Kenya ataanzia wapi .
Ni wasanii wepi hao wa kibongo wakija huko mnawehuka kwa shangwe?Nimeifuata hiyo video nishindwa kuunganisha na ulichokisema hapa, sikatai kunao wasanii wa Kibongo wanaopendwa Kenya, lakini hawa mnaotutajiaga humu kwa kweli hawana huo mvuto Kenya. Huyu Jux naufahamu wimbo wake mmoja tu alioimba na Vanessa Mdee.
Wasanii wenu huku kwetu tunawalea sio maskini kama nyie mnamuibia Diamond chain
Hii hapa video unayozungumzia kuhusu kuopkelewa kwa Jux www.instagram.com/p/BqmOkd9nowi/
Hii video ya mlivyomuibia Diamond chain
Ni wasanii wepi hao wa kibongo wakija huko mnawehuka kwa shangwe?
Hawa watani wetu wanapenda sana kiki ndombolo, kama zile za makondakta wa matatu za kuenda vijijini ndaaaniii, kule Nkaimoronya. [emoji23]Eti tufunge mitaa kisa msanii wenu amukuja, hehehehe....
Angalia na huyu mkenya alivyokamatwa wizi mlimani city mallHawa wezi sana, angalia walivyokamatwa Malawi
Kuna wamarekani wanahamia hapa bongo wewe mkiberaTanzania is on hardtime at the moment that why you see many Tanzanians migrate to USA ,South Africa ,Malawi and other country for green pastures