Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
The hell himself!!!Eti mitaa ilifungwa. Hahaa! [emoji1] Wewe mleta mada ni mwendawazimu. Alafu, who the hell is Jux?
πππKuna wamarekani wanahamia hapa bongo wewe mkibera
huyo jax hana tofaut na chokoraa hapa nairobi ndugNaona vijana wanazidi kutisha tu kila kukicha,mapokezi aliyopata Jux Nairobi ni balaa ,ni kama ya rais Uhuru,full ulinzi msafara wa magari kadhaa,ni wanje wanje.
Watanzania wenzangu tusiwachukulie poa hawa wasanii wetu.
Anyway, mnakumbuka mlivyosugua barabara ya lami kwa sabuni ya omo Obama alipowatembelea..yaani vilaza walijikusanya na omo pamoja na mitungi ya maji kusugua barabara ingae sijui barabara pia ilikuwa na zile tunaita "tough stains" au...sasa nataka niwaulize...ni nani mshamba?π
Pili, walienda madiwani, wabunge, wakafanya kikao na masuti yao, wakaimba, wakakunywa, wakajivinjari kwa nyimbo na densi kem kem kisa uzinduzi wa lifti (yaani elevator)..picha ninazo huwa naaibika sana ninapotazama hahahah..nauliza tena, ni nani mshamba?π
Tatu, rais mzima kaenda kuzindua ukuta uliojengwa kuzuia wezi wa Tanzanite...hivi nauliza, ni nani mshamba?π
hata sitataja wanavozungumza broken english (kiingereza kibovu) kwanzia rais, waimbaji wakubwa wakubwa, na wananchi wa kawaida...jamani nauliza, ni nani mshamba?
wakanywa asante...haya nenda kaoshe barabara kwa omo sasaππwashamba wa duniaKabla hatujakujibu utueleze kwanza 'wakakunywa' ndio nini?
Naona vijana wanazidi kutisha tu kila kukicha,mapokezi aliyopata Jux Nairobi ni balaa ,ni kama ya rais Uhuru,full ulinzi msafara wa magari kadhaa,ni wanje wanje.
Watanzania wenzangu tusiwachukulie poa hawa wasanii wetu.