Jux apokelewa Nairobi kama Uhuru,mitaa kadhaa ilifungwa

Anyway, mnakumbuka mlivyosugua barabara ya lami kwa sabuni ya omo Obama alipowatembelea..yaani vilaza walijikusanya na omo pamoja na mitungi ya maji kusugua barabara ingae sijui barabara pia ilikuwa na zile tunaita "tough stains" au...sasa nataka niwaulize...ni nani mshamba?😀
Pili, walienda madiwani, wabunge, wakafanya kikao na masuti yao, wakaimba, wakakunywa, wakajivinjari kwa nyimbo na densi kem kem kisa uzinduzi wa lifti (yaani elevator)..picha ninazo huwa naaibika sana ninapotazama hahahah..nauliza tena, ni nani mshamba?😀
Tatu, rais mzima kaenda kuzindua ukuta uliojengwa kuzuia wezi wa Tanzanite...hivi nauliza, ni nani mshamba?😀
hata sitataja wanavozungumza broken english (kiingereza kibovu) kwanzia rais, waimbaji wakubwa wakubwa, na wananchi wa kawaida...jamani nauliza, ni nani mshamba?
 
Huku bongo alikuja superstar wao tukampa mmalaya mkoja hivi anaitwa umberlulu jamaa alitangaza mka ndoa kabisa..hahahaha..
 
Eti tufunge mitaa kisa msanii wenu amukuja, hehehehe....
1543164488083.png
1543164488083.pnghawa itakuwa hawana akili...yaani rick ross anaingia nairobi anatoka watu hawana habari sasa jax ndo nani...chris brown naye anatinga mombasani kisha anatoka waswahili hawana habari sasa huyu ndo nani sijawahi kumskia hata siku moja
1543164555781.png
 
Naona vijana wanazidi kutisha tu kila kukicha,mapokezi aliyopata Jux Nairobi ni balaa ,ni kama ya rais Uhuru,full ulinzi msafara wa magari kadhaa,ni wanje wanje.
Watanzania wenzangu tusiwachukulie poa hawa wasanii wetu.

huyo jax hana tofaut na chokoraa hapa nairobi ndug
1543164623512.png
....
 
Anyway, mnakumbuka mlivyosugua barabara ya lami kwa sabuni ya omo Obama alipowatembelea..yaani vilaza walijikusanya na omo pamoja na mitungi ya maji kusugua barabara ingae sijui barabara pia ilikuwa na zile tunaita "tough stains" au...sasa nataka niwaulize...ni nani mshamba?😀
Pili, walienda madiwani, wabunge, wakafanya kikao na masuti yao, wakaimba, wakakunywa, wakajivinjari kwa nyimbo na densi kem kem kisa uzinduzi wa lifti (yaani elevator)..picha ninazo huwa naaibika sana ninapotazama hahahah..nauliza tena, ni nani mshamba?😀
Tatu, rais mzima kaenda kuzindua ukuta uliojengwa kuzuia wezi wa Tanzanite...hivi nauliza, ni nani mshamba?😀
hata sitataja wanavozungumza broken english (kiingereza kibovu) kwanzia rais, waimbaji wakubwa wakubwa, na wananchi wa kawaida...jamani nauliza, ni nani mshamba?

Kabla hatujakujibu utueleze kwanza 'wakakunywa' ndio nini?
 
Naona vijana wanazidi kutisha tu kila kukicha,mapokezi aliyopata Jux Nairobi ni balaa ,ni kama ya rais Uhuru,full ulinzi msafara wa magari kadhaa,ni wanje wanje.
Watanzania wenzangu tusiwachukulie poa hawa wasanii wetu.

WTF!
 
Back
Top Bottom