Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jux amevaa boxer ya kikeMwanamuziki matawi ya juu bongo , na anayejua kupangilia vizur mavazi yake, juma jux , hivi karibuni amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupost picha akiwa nusu utupu, hali iliyozua sintofahamu kwa mashabiki zake .
Tunajua Jux ana advertise boxer zake , ila kwa huu mkao wa kwenye picha huenda kuna biashara nyingine anayoitangaza kwenye ulimwengu wa kiroho .
Ila huyu nae ana nyota ya kunguni, hat ajichetue vipi no one cares
View attachment 1471486