Jux asema Vanessa wake ni zaidi ya wema na zali

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Akihojiwa na Savannah fm ya jijini Mwanza kwa njia ya simu katika kipindi cha "Bongo fleva na mbongo fleva wetu" aliulizwa kwanini ameweza kuwa kwenye mahusiano na staa bila penzi lake kuyumba kama wengine, mbongo fleva huyu alidai " Unajua nampenda Vanessa coz alinionesha zaidi ya wema na upendo, na ofcoz nilikuwa na zali mpaka kumng'oa huyu mtoto,si unajua watu kibao walikuwa wanamtolea macho" na pia amedai wanaangalia kama mambo yakiwa fresh wafunge ndoa mwisho wa mwaka huu na mnyange huyo.

Mimi nasema Kila la kheri katika hilo
 
Safiii jux nnaona vimodo tunapata promo
 
Last edited by a moderator:
Kwa hyo jack cliff ndo kasahaulika ivooooo
Hahahaha wanaume ni watu wasio na utu
 
Siku shigongo akikutana na msaga sumu lazma alambe Ajira, uandishi wa kidaku anauweza
Teh Teh daa nikikumbuka story ya juzi nacheka sana hasa pale Wema na Jokate walivyokuwa wanakwenda kutafuta shule....
 
Sijui kama nipo wrong. Ila namkubali sana jux kwenye suala la mahusiano. Huwa hana skendo za ajabu ajabu
 
Kwa hyo jack cliff ndo kasahaulika ivooooo
Hahahaha wanaume ni watu wasio na utu
Umsubiri mtu aliyeko gerezani kwa kesi kubwa kama ile inahusu. Kwenye hilo hakuna uanaume wala uanamke
 
Msagasumu inaonekana we ni mmoja wa crew ya Shigongo..huu uandishi hapana kwakweli....nilipokuja kusoma huu uzi nilikua na mambo mawili kichwani 1. Umekosea jina la boss lady 2. Nlimuwazia Jux kutafuta kiki kwa kutaja wakewenza wa Dai
Umetisha sana
 
Kwa hyo jack cliff ndo kasahaulika ivooooo
Hahahaha wanaume ni watu wasio na utu

sasa wewe ulitaka iweje??? Hii dunia ndivyo ilivyo..ama unakula au unaliwa, akili kumkichwa mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…