Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Changamoto kubwa haziko kwenye mahusiano kabla ya ndoa bali baada, ambapo vumbi la mihemko ya mapenzi motomoto likitulia ndio madhaifu huanza kuonekana!Akihojiwa na Savannah fm ya jijini Mwanza kwa njia ya simu katika kipindi cha "Bongo fleva na mbongo fleva wetu" aliulizwa kwanini ameweza kuwa kwenye mahusiano na staa bila penzi lake kuyumba kama wengine, mbongo fleva huyu alidai " Unajua nampenda Vanessa coz alinionesha zaidi ya wema na upendo, na ofcoz nilikuwa na zali mpaka kumng'oa huyu mtoto,si unajua watu kibao walikuwa wanamtolea macho" na pia amedai wanaangalia kama mambo yakiwa fresh wafunge ndoa mwisho wa mwaka huu na mnyange huyo.
Mimi nasema Kila la kheri katika hilo
Mmoja wenu asipokubali kuwa chini hamfiki hata kwamtogole