Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Na yeye hana lolote huyo sema ni mwanamke anajua kuficha!

Full kubondwa, aibu tu ya kuchomoka hapo kwa mpopo watu watanionaje?

Yaan kiufupi wote wanakomeshwa na hao wapopo wao!πŸ€”
Don't tell me. Vanessa Mzee anapigwa?
 
Hadi Tundu Lissu kanenepa kuliko Jux
 
Kuoa au kutooa si issue, kwa sababu ni maisha yake.

Wewe huna maisha ndiyo maana unashadadia ya Jux.

You have an empty unfulfilling life obviously, that is why you are obsessed with Jux.
Mkuu wewe lazima utakuwa mganga wa kienyeji au prophet maana ulicho kisema hapo ni kweli kabisa Sina maisha ndio maana nnaenjoy kufuatilia maisha ya watu.. Wewe hutaki ni enjoy mkuu? Tafadhali sana..
 
But Rotimi si kazaliwa USA? At least anaweza kuwa tofauti na walio zaliwa Naija.. Kumbe anampiga mkewe?? Na Vee anaogopa ku move out kwa sababu ya maneno ya watu?
 
ila we jamaa
 
Nyie hii ishu ipo serious kuliko mnavyo dhani, wa bongo wanalalamika wameanza kutishiwa DMs na Wanaija ( Team Priscilla) . Kuna watu zaidi ya Mia wana comment huko na wawili wamefanya video wanasema watu wa Priscilla wanawatishia maisha..

Nitawafuatilia kwa karibu nitawapa mrejesho..

Jux mwanetu sijui kajichanganya wapi tu bablai. Hao wa Yoruba more especially watoto wa Lagos wanakuwaga ma mafia mafia.. Na huyo mtoto lazima atakuwa na connection na watu wa dizaini hiyo.

Her mother looks like someone who has like 3 numbers of the most powerful witchdoctors in Nigeria. Plus 5 numbers of the most feared cultists with ties to gangsters ( killers/shooters) in Lagos.

Jux kayakanyaga
 
Upo vzur Mzee wewe ni zaidi ya carry mastory, utatuambia kinachoendelea
 
Na yeye hana lolote huyo sema ni mwanamke anajua kuficha!

Full kubondwa, aibu tu ya kuchomoka hapo kwa mpopo watu watanionaje?

Yaan kiufupi wote wanakomeshwa na hao wapopo wao!πŸ€”

Kumbe yule mpopo ni mbwa, kila mtu anajua he's a cheater lakini hii ya kumpiga sio poa
 
Mkuu wewe lazima utakuwa mganga wa kienyeji au prophet maana ulicho kisema hapo ni kweli kabisa Sina maisha ndio maana nnaenjoy kufuatilia maisha ya watu.. Wewe hutaki ni enjoy mkuu? Tafadhali sana..
But you are a sadist too.

Wewe ni kama mwanga usiyetaka wenzako waishi vizuri. Sio tu huna life, ni kama mulozi, mwanga.
 
But you are a sadist too.

Wewe ni kama mwanga usiyetaka wenzako waishi vizuri. Sio tu huna life, ni kama mulozi, mwanga.
Duh kwamba na enjoy kuona mtu akiwa kwenye matatizo? Ili niwe sadist natakiwa Mimi ndio niwe msababishi wa tatizo
 
Duh kwamba na enjoy kuona mtu akiwa kwenye matatizo? Ili niwe sadist natakiwa Mimi ndio niwe msababishi wa tatizo
Wewe ni msababishi wa tatizo, ila ni mjinga sana hujajua hilo.

Na mimi sipendi kubishana na watu wajinga.

Nishasema nilichotaka. Sichungi ng'ombe.

Nakupeleka ignore list sitaona utakachoandika kuanzia hapa.
 
Mtu mjinga ame ipiga "ego" yako hadi umesusa🀣🀣🀣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…