Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Aisee 😂😂😂 kumbe unawajua wewe vizuri. Good manipulators.
Vee mbona inajulikana jamaa anamu abuse sana, mpaka mama yake alishamwambia aachane na huyo mshenzi. Kwanza ni women beater jamaa, na anamsimanga sio poa, community ya watz US wanajua mambo kiundani na imefika kipindi jamaa hataki kabisa awasiliane na community za watz.
Ma west ni mashenzi mno.
Seriously?
 
Kimapenzi wanawake wa Nigeria wanapenda kutawala na kutoa amri, yaani awe juu ya mwanamume, anauwezo wa kukwambia simtaki mama yako aje hapa na utafanya hivyo. Wabinafsi wanaojipenda sana wenyewe, tena ukimpata mwenye pesa ndio ujue umekwishaaaaa. Wanakabaaaa balaaa, hupati muda wa kuwa peke yako lazima ajue uko wap, na nani na unafanya nini. Simu yako ni yake!!!
Kwa sisi wengine hasa wa huku bongo lazima ukonde...
 
Mkuu Kiranga narudia tena.. Tabia ya watu kupenda kufatilia maisha ya watu wasio wahusu na wasio wajua ni tabia ya asili ya mwanadamu hawezi kuiacha hata iweje. Kuna watu wametengeneza ma milioni kwa kucapitalize kwenye hiyo fact ( Shigongo mmoja wapo) . Hata wewe unapenda kufuatilia maisha ya watu usio wajua wasio kuhusu.. Unaweza kusema huguatilii maisha ya watu ( Consciously) ila unconsciously unapenda kufuatilia maisha ya watu and I can prove it to you.. Kitendo cha wewe kuwaambia watu usio wajua waache kufuatilia maisha ya watu wasio wajua kina thibitisha kwamba unapenda kufuatilia maisha ya watu usio wajua ( unconsciously)

Hata kitendo cha wewe kuwa interested na huu Uzi pekee kina thibitisha unapenda kufuatilia kuhusu maisha ya watu usio wajua. Uzi hauhusu kodi kwa maendeleo ya taifa wala uchimbaji wa madini ya Uranium. Unamuhusu Jux. Mleta Uzi kasema " Mwenzetu Jux kayakanyaga".Kitendo tu cha wewe kufungua huu Uzi kina thibitisha ni jinsi gani ulitaka kujua kuhusu kilicho mtokea Jux ambae kwa mujibu wako ni mtu asie kuhusu na maisha yake hayakuhusi.

Huhitaji kuwa na Degree ya Psychology kumjua mtu mwenye mawazo. Kuna mambo kuhusu body language ni basic and common knowledge. Hata mtoto mdogo anaweza kusoma body language ya mama ake kwa kumsoma uso akiwa ananyonya

Ubongo wa mwanadamu umekuwa biologically wired katika namna inayo mfanya mwanadamu kuchagua jambo rahisi kuliko gumu. Mtu akiwa anatembea njiani akakuta sehemu kuna upande kuna matope na upande mwingine hauna matope atachagua kuuacha upande wenye matope na kwenda upande usio na matope. All this kwa sababu akili ya binasamu haipendi kujichosa na mambo magumu ambayo yapo juu ya uwezo wao. Ni rahisi sana kwa wa Tanzania kusema Jux amekonda au Free Jux kuliko kuwatoa CCM madarakani.. Hilo la kutaka kuwatoa CCM madarakani tuna waachia nyie ma genius ambao mnapenda kujistress. Sisi hatupendi kujistress.

Kwa sababu ipo nje ya uwezo wetu. Hatuwezi kushindana na watu ambao vidole vyao vina nguvu kushinda mikono yetu. Tuna deal na vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wetu.

Mkuu if we go down to that level, hakuna binadamu ambae haijawahi kufirwa duniani. Kwa sababu kisayansi hakuna tofauti kati ya kufirwa na Kunya.. As a matter of fact kuna watu kufirwa kwao ni starehe. Ulaya na Marekani kuna wanaume wanalipa maelfu ya dola ili wafirwe

Haituzuii kufanya hivyo kwa sababu lipo ndani ya uwezo wetu

Kumwambia m Tanzania aache umbea ni sawa na kujaribu kumwambia msichana wa kitanzana aache kula Pepsi. Unakuwa unafanya biashara ya kubaka moto unaungua mavuzi.
Umeanza na appeal to nature logical fallacy.

Magonjwa ni nature, ni kitu kinachotokea naturally, lakini hilo halimaanishi tusijikinge na magonjwa.

Wewe umeanza kujenga hoja kwamba magonjwa ni nature kwa hiyo tukubali tu magonjwa, na kuna watu wengi wanatajirika kwa kuuza chakula kibaya kinachosababisha magonjwa.

Ujinga mtupu.
 
Ukweli ni ukweli tu. Hata nisipousema, ukweli haubadiliki kwa sababu mimi sijausema tu.

Unaweza kushangaa kwa nini mimi ni masikini namuongelea Jux wakati Jux hata hanijui?

Kumbe muda unatumia bando lako kumuongelea Jux ungeweza kutafuta michongo ya kukuendeleza na wewe ungeweza kuwa hata zaidi ya Jux.

Badala ya wewe kumuongelea Jux, watu usiowajua wangekuwa wanakuongelea wewe.

Ushawahi kufikiria hivyo?
Maisha huwaga hayataki hivyo unavyo taka wewe.. Kuongelea kuhusu maisha ya watu wengine ni starehe ya nafsi. Haina tofauti na ngono na pombe. Huwezi mzuia masikini asinywe pombe au asisex kwa sababu eti Hana hela. Hiyo haipo..
 
Umeanza na appeal to nature logical fallacy.

Magonjwa ni nature, ni kitu kinachotokea naturally, lakini hilo halimaanishi tusijikinge na magonjwa.

Wewe umeanza kujenga hoja kwamba magonjwa ni nature kwa hiyo tukubali tu magonjwa, na kuna watu wengi wanatajirika kwa kuuza chakula kibaya kinachosababisha magonjwa.

Ujinga mtupu.
Magonjwa yanasimama kwenye bad side of nature.. Gossip ni starehe. Inastarehesha nafsi ya anae fanya gossip. So stands in the good side of nature.. Gossip ni hitaji la asili na magonjwa ni tatizo la asili. Two different things though all are about the same thing
 
Gossip ni starehe kwa wajinga.

Simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

You are a simpleton.
 
Ukweli ni ukweli tu. Hata nisipousema, ukweli haubadiliki kwa sababu mimi sijausema tu.

Unaweza kushangaa kwa nini mimi ni masikini namuongelea Jux wakati Jux hata hanijui?

Kumbe muda unatumia bando lako kumuongelea Jux ungeweza kutafuta michongo ya kukuendeleza na wewe ungeweza kuwa hata zaidi ya Jux.

Badala ya wewe kumuongelea Jux, watu usiowajua wangekuwa wanakuongelea wewe.

Ushawahi kufikiria hivyo?
Hapa tunaongea tu kama burudani, hata hao wanaosema free Jux they are doing it for fun, hakuna mtu mwenye nia wala uwezo wa kumkomboa mtu ambaye hajasema anataka kukombolewa
 
Sawa,

Wewe unaweza kuona "for fun" lakini deep down hata kwenye subconscious mind huko kuna saikolojia fulani ya kukosa empathy, kuna saikolojia fulani ya sadism, kuna saikolojia fulani ya umasikini. Kuna saikolojia fulani ya kushindwa kushika hamsini zako. Kuna saikolojia fulani hata yavku oroject failures zako mwenyewe kwa Jux. Kuna saikolojia filani ya hata kutamani maisha ya Jux na kumhasidi kwa wivu tu?

Kwanza hii ni basically kum cyber bully Jux. For fun. Ni kitu kibaya sana.

Hivi hamjafikiria kuwa haya maneno ambayo nyie mnaona for fun yanaweza kuleta mpasuko wa kweli katika ndoa ya Jux?

Au mmefikiria, ila hamjali tu?

Hamuelewi kwamba kwa nyie kujifurahisha kwenu kwa muda tu, kama Jux na mkewe na familia zao hawako makini hili jambo linaweza kuvunja ndoa kabisa kwa sababu mnachofanya kimsingi ni cyberbullying kwa Jux na familia yake?

Umeshawahi kuingiliwa katika ndoa au mahusiano yako na watu maelfu kwa maelfu usiowajua, mtandaoni wanakusakama na kukuongelea mambo yako ya ndani kama wanakujua wakati hawakujui?

Ushawahi kufikiria mtu anayepitia hali hiyo, tena akiwa anaishi ugenini anakuwaje?

Unajua Jux ana psychological resilience gani? Anapitia hali gani na mke wake kutokana na hicho kitu ambacho wewe unakifanya "for fun"?

Unajua kuwa Jux is not your toy to play with "for fun", ni mtu ana maisha yake na feelings zake?
 
Bwana wee ndoa ivunjike kisa maaneno ya watu? Sisi tunasema amekonda kwa sababu anateswa ila mwenyewe anasema huo mwili ameutafuta mwenyewe kwa sababu anapenda kuwa hivyo...huoni kuwa tuko kwenye dunia mbili tofauti? Maneno ya watu yatakuumiza kama wewe mwenyewe unateswa na hicho kinachoendelea.
 
Kama anateswa au kautafuta mwenyewe haiwahusu.

Ila kwa sababu nyie mnataka umbea tu, mnalazimisha iwahusu.
 
Hata sisi tunajua haituhusu na Jux mwenyewe anajua haituhusu na hivyo hawezi kupata shida na umbea tunaopiga Jf. Umesoma lakini description ya Celebrities forum? Hili jukwaa limewekwa kwaajili ya kuongelea watu! Sio ndugu zetu wala members wa Jamiiforums...watu maarufu
 
Hujui Jux ana mental state gani.

Umbea hujakatazwa kupiga, ila ukweli nawaambieni pia na mimi sijakatazwa kusema ukweli.

Nyie kaeni kumuongelea Jux mwenzenu anatafuta michongo.

Halafu mtalalamika kwa nini nyie masikini, kwa nini hamna maendeleo.

Wakati muda wa kutafuta michongo mnamjadili Jux.

Jux mwenyewe hata hawajui kama mpo sayari hii.
 
Hapo uliposema hatujakatazwa kupiga umbea umemaliza kila kitu 🤣 🤣 🤣 hebu tumalize hili sasa. Ukishakuwa celebrity unatakiwa ukubali mazuri na mabaya yatokanayo na umaarufu wako ndio maana sio kila mtu anaweza
 
Ni ujinga wa kijamii tu unaowafanya mjione mna haki ya kumuingilia mtu katika maisha yake binafsi kwa stories za kuungaunga kwa sababu yeye ni celebrity.

Hii inaonesha maisha yenu yako empty kiasi gani mpaka mnamshambulia mtu asiyewahusu kwa sababu ni celebrity tu.

You don't have a life, so you end up obsessively watching someone else's life.

Secretly you wish you could live that life.

But you can't.
 
Back
Top Bottom