Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Toka lini jux akawa na kitambi au hata kunenepa?

Ile sio afya asee, umeona shingo na mdomo, na mda wote ana ulamba lamba😂😂😂...

Kuna comment imenichekesha insta eti " sasa hivi jux akitaka kulamba mdomo mpaka apige mluzi" Watu wana maneno balaa
Hahaha watu
 
Wanaigeria ni wakukaa nao kw akili Sana ndio mana ni mara chache utakuta comb ya Mnigeria na Mjenga wote wajuaji hawa,

Vijana msije mkajichanganya Kuanzisha familia na Mwanamke kwa mind set kuwa kwao au yeye yupo stable financial hio ni big mistake

Hela zake au hela zao hazitafanya chochote kile Kwenye Prosperity ya familia yenu mnayojenga hazitakupa utulivu zaidi ya Pressure Tu ili uendane na life style yao

Ukikuta na manzi nae kichwa nazi basi Lazima Uwe mtumws
Haya ndio mawazo ya Mtibeli Robert Heriel, Yule jamaa Yuko obsessed na Mali za mwanamke
Cha Mwanamke chochote kile hakina Masada na wellbeing yako, kwasababu iko obsessed nacho kitaua Ile manhood, ni kosa kubwa Sana vijana wanafanya
 
Tatizo anaishi kwenye kivuli cha Vanessa ,hakuweza kuishi maisha yake tena baada ya kuachana na Vee...ukiweka na maneno ya shombo ya wabongo kuhusu kukimbiwa, akaona na yeye atafute mnigeria...wale watu sio asee

Hata huyo Vanessa anaigiza tu humo na huyo mnigeria, ni kanateseka balaa🤣🤣🤣
Hivi na Vanessa kaolewa na Mnigeria?
 
Wanaigeria ni wakukaa nao kw akili Sana ndio mana ni mara chache utakuta comb ya Mnigeria na Mjenga wote wajuaji hawa,

Vijana msije mkajichanganya Kuanzisha familia na Mwanamke kwa mind set kuwa kwao au yeye yupo stable financial hio ni big mistake

Hela zake au hela zao hazitafanya chochote kile Kwenye Prosperity ya familia yenu mnayojenga hazitakupa utulivu zaidi ya Pressure Tu ili uendane na life style yao

Ukikuta na manzi nae kichwa nazi basi Lazima Uwe mtumws

Cha Mwanamke chochote kile hakina Masada na wellbeing yako, kwasababu iko obsessed nacho kitaua Ile manhood, ni kosa kubwa Sana vijana wanafanya
Ukikuta kuna Mahusiano ambayo Mwanamke ndiye mwenye maisha kuzidi Mwanaume, ujue Tu hapo Mwanaume ni Mtumwa hata kama anajichekesha chekesha
 
Wanigeria sio watu wazuri wake wanapenda starehe alafu sherehe kila siku hadi najiulizaga oesa anatoa nani sijui mwamba inaonekana alimchukua yule binti ili amkomoe vanesa tu
Hakufikiria mara 2 Nigeria sio sehemu ya kuchagua kwenda kufanyia show off afadhali angeenda hata Rwanda tunaendana.
Hao wanigeria kwenye kila jambo walifanyalo utu unakaa pembeni,mambo yao yanaenda kijeshijeshi tu
 
Tatizo anaishi kwenye kivuli cha Vanessa ,hakuweza kuishi maisha yake tena baada ya kuachana na Vee...ukiweka na maneno ya shombo ya wabongo kuhusu kukimbiwa, akaona na yeye atafute mnigeria...wale watu sio asee

Hata huyo Vanessa anaigiza tu humo na huyo mnigeria, ni kanateseka balaa🤣🤣🤣
Kumbe unayajua Hadi maisha ya Vanessa


Fanyeni kazi acheni kufuatilia maisha ya watu.


Ukute wewe mwenyewe maisha yako magumu huna mbele Wala nyuma. Mahusiano yako yamechoka unakuja kutoa ushauri na kukosoa wengine badala ya wewe kujishauri na kujikosoa Ili uwe Bora.
 
And why should that concern you?

Did you want Jux to marry you instead of Priscilla?

Hujawahi sikia msemo " Wasanii ni kioo cha jamii"?

Jamii inaweza kujifunza kupitia makosa ya wasanii. Inaweza kujifunza kupitia mazuri waliyo yafanya.

Kwa hiyo kwa kusema hivyo nilivyo sema, nimejifunza kupitia ishu ya Jux 👇

" Never joins another person's family ". Start your family instead.



Mkuu. " I don't give a damn attitude " " Mind your business attitude " Do not operate in Africa..
Sisi ni wajamaa. Sio wabepari. We are generously..

Yes it may be working or operating in the US but not in Africa.

Something which might be good in the village ( Tanzania) may not be good in town ( US)
I hope u get me welloo
 
Wanaigeria ni wakukaa nao kwa akili Sana ndio mana ni mara chache utakuta comb ya Mnigeria na Mkenya wote wajuaji hawa,

Vijana msije mkajichanganya Kuanzisha familia na Mwanamke kwa mind set kuwa kwao au yeye yupo stable financial hio ni big mistake

Hela zake au hela zao hazitafanya chochote kile Kwenye Prosperity ya familia yenu mnayojenga hazitakupa utulivu zaidi ya Pressure Tu ili uendane na life style yao

Ukikuta na manzi nae kichwa nazi basi Lazima Uwe mtumwa
Fact
 
Back
Top Bottom