Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Masikini pambaneni na hali zenu, hata kula yenu mgogoro ila kutwa kushoboka na maisha ya watu
 
My comment on this Jux saga is 👇👇👇👇

Jux has not married to Priscilla. Jux has just joined Priscilla's family which is headed by Priscilla"s mother.
Wewe pambana na English medium ulioshindwa kulipa ada
Jux ana hela ya kusomesha watoto wake International school sio EMS
 
Hakuna nilipomkataza mtu kufanya lolote. Nakuwekea observations zangu tu hapa na logic yake.

Na hoja ya "nature ya mwanadamu ni..." ni logical fallacy, argument from nature.

Kama nature ya mwanadamu ni kuumwa maana yake tusijikinge na magonjwa kwa sababu nature ya mwanadamu ni kuumwa?

Kama nature ya mwanadamu mwanamme ni kutaka kumlala mwanamke mzuri yeyote anayempitia mbele yaje, basi amlale tu kwa sababu ni nature yake?

Hatuishi kwa kujizuia tusifanye mambo fulani ambayo tunataka kuyafanya naturally?

Yani mimi mwanamme nina kende zangu, mke wangu, watoto wangu, maisha yangu, niache kupanga maisha yangu, ndoa yangu, niende kushadadia ndoa ya Jux kweli?

Mtu ambaye hanijui, simjui?

Yangu sijayamaliza, niyafuate ya Jux?

Huoni tatizo hapo?

Hii si ile habari ya kujifanya mko concerned iki kupiga umbea tu?

Huwezi kutumia mfano wa kuumwa kwa sababu suala la kuumwa lipo kwenye unpleasant side of nature. Gossip is in the " Dope* side of nature.

Hapo kwenye kumlala mwanamke of course sex is in the dope side of nature but tatizo kupata sex ni expensive.. Huwezi kufanya sex tu mwanamke kwa sababu ni mzuri.. But gossip is " Cheap Dopamine".You are likely to get it for free.

Msome Jack Levin kwenye kitabu * Gossip: the Inside Scoop" ameelezea vizuri Sana kuhusu Gossip ( from a psychology perspective)

Msome na Ralph L. Rosnow kwenye * Rumour and Gossip: The Social Psychology of Hearsay *. Pia kaelezea vizuri.

However bad it may sound but gossip is a natural expression of human sociality.


Human beings desire gossip as much as they desire oxygen. And they all know this weather consciously or unconsciously..

Gossip is a very powerful weapon to the extent that you can use it anchor a person to you.. Hata mkeo unaweza kumfanya loyal and obedient kwa kutumia gossip.
Believe me kaka. Kuna mwanamke tunamtaka, wewe ukaenda na hela Mimi nikaenda na gossip, naweza kumu win moyo wake kuliko wewe as long as nimpe uhakika wa gossips.
 
Kuna mdada mmoja alijipost Insta anawashauri vijana jambo fulani,
Sasa huyo mdada alikua na macho makubwa na uso wa Duara,

Comment ya kwanza kabisa ikamwambia;

''Tulia na uso wako kama emoji ya Jua''
Hahah kale katoto kanamziki kanaitwa abby chams kalipost picha yake kakijipongeza kufikisha miaka 21
Comment ya kwanza kabisa utadhani jamaa lilikua linasibiri hio chance maisha yake yote
"Siku hizi gospel huimbi tena? Aya miaka 21 moja ndio unajibinua hivyo ukifikisha 30 sindio utataka ututombe kabisa nilicheka sana sijawah ku recover from that comment tangu siku hio
 
Huwezi kutumia mfano wa kuumwa kwa sababu suala la kuumwa lipo kwenye unpleasant side of nature. Gossip is in the " Dope* side of nature.

Hapo kwenye kumlala mwanamke of course sex is in the dope side of nature but tatizo kupata sex ni expensive.. Huwezi kufanya sex tu mwanamke kwa sababu ni mzuri.. But gossip is " Cheap Dopamine".You are likely to get it for free.

Msome Jack Levin kwenye kitabu * Gossip: the Inside Scoop" ameelezea vizuri Sana kuhusu Gossip ( from a psychology perspective)

Msome na Ralph L. Rosnow kwenye * Rumour and Gossip: The Social Psychology of Hearsay *. Pia kaelezea vizuri.

However bad it may sound but gossip is a natural expression of human sociality.


Human beings desire gossip as much as they desire oxygen. And they all know this weather consciously or unconsciously..

Gossip is a very powerful weapon to the extent that you can use it anchor a person to you.. Hata mkeo unaweza kumfanya loyal and obedient kwa kutumia gossip.
Believe me kaka. Kuna mwanamke tunamtaka, wewe ukaenda na hela Mimi nikaenda na gossip, naweza kumu win moyo wake kuliko wewe as long as nimpe uhakika wa gossips.
Ukishaanza na mfano wa kuhalalisha kitu kwa sababu ya nature umefanya appeal to nature logiical fallacy, huelewi wapi?

Na pia, this is not even gossip, this is the vapid public takedown of celebrities you don't sufficiently know because your life is just that empty.

Kuna wanawake huwezi kuwapata kwa hela (wanazo) wala gossip (they are above that) wao ni sapiosexual.

I bet you don't know what that is.
 
Karibuni sana hii
 

Attachments

  • FB_IMG_1786593924390.jpg
    FB_IMG_1786593924390.jpg
    252.5 KB · Views: 8
Wanaigeria ni wakukaa nao kwa akili Sana ndio mana ni mara chache utakuta comb ya Mnigeria na Mkenya wote wajuaji hawa,

Vijana msije mkajichanganya Kuanzisha familia na Mwanamke kwa mind set kuwa kwao au yeye yupo stable financial hio ni big mistake

Hela zake au hela zao hazitafanya chochote kile Kwenye Prosperity ya familia yenu mnayojenga hazitakupa utulivu zaidi ya Pressure Tu ili uendane na life style yao

Ukikuta na manzi nae kichwa nazi basi Lazima Uwe mtumwa
 
Back
Top Bottom