Jux ni mtumwa wa mapenzi mwanaume kamili huwezi kukaa kwa wakwe zako na akili yako kuendeshwa na wao so hapo ujinga upo kwa mhusika mwenyeweSi mnatusena wanawake wa kibongo ombaomba 🤣🤣🤣 mkipata matajiri mnalia tena
Jux ni mtumwa wa mapenzi mwanaume kamili huwezi kukaa kwa wakwe zako na akili yako kuendeshwa na wao so hapo ujinga upo kwa mhusika mwenyeweSi mnatusena wanawake wa kibongo ombaomba 🤣🤣🤣 mkipata matajiri mnalia tena
Hahaha sawa mkuuKumbe unayajua Hadi maisha ya Vanessa
Fanyeni kazi acheni kufuatilia maisha ya watu.
Ukute wewe mwenyewe maisha yako magumu huna mbele Wala nyuma. Mahusiano yako yamechoka unakuja kutoa ushauri na kukosoa wengine badala ya wewe kujishauri na kujikosoa Ili uwe Bora.
Kwa hiyo anakaa Naijeria?Jux ni mtumwa wa mapenzi mwanaume kamili huwezi kukaa kwa wakwe zako na akili yako kuendeshwa na wao so hapo ujinga upo kwa mhusika mwenyewe
No one is taking anyone down. Uzuri uwezo kusoma body language is a natural trait. Jux"s body language and facial expressions both screams out loud for help. Watu wame pick that cry for help, wamekuja na rescue plan Yao wanasema Free Jux.. How can that be bullying or taking down of a celebrity.Ukishaanza na mfano wa kuhalalisha kitu kwa sababu ya nature umefanya appeal to nature logiical fallacy, huelewi wapi?
Na pia, this is not even gossip, this is the vapid public takedown of celebrities you don't sufficiently know because your life is just that empty...
Kuna wanawake huwezi kuwapata kwa hela (wanazo)
Hakuna mwanamke juu ya uso wa dunia ambae hapendi gossip.. Unless otherwise mention one of them so that I be sure that you are not talking about a ghost.. Kaka narudia tena human beings brains have been biologically wired to desire to know about other people's affairs.. Wana sayansi na wana saikolojia ya akili ya mwanadamu wanalijua hilo, ndio maana Ma Rais wa nchi wanakuwaga na kitengo maalumu cha watu wa kuwapa gossip.( Mashushu) ambao kazi Yao ni pamoja na kumpa Rais taarifa nyinginezo Ila pia wana mfeed about gossip. Hii ni kwa sababu naturally wanadamu wana desire kujua kuhusu Mambo ya watu wengine lakini pia wana desire kujua watu wengine wanasema ama wanawaza nini kuhusu wao. Hukumbuki hata Mwendazake Hadi alivujisha zile audio za wale wanasiasa wakimzungumzia... All because walio mpa hizo taarifa ni wataalamu walio bobea kwenye human psychology.. Wanajua kila mtu anapenda gossip.wala gossip (they are above that)
wao ni sapiosexual.
I bet you don't know what that is.
😂😂😂 unajiuliza huyu ana interest gani kwenye hili?Kuna mmoja huyo nilicheka jamani! Anajibishana na wanaija kwa kiswahili na anakwenda nao sambamba. Wenzie wamejaa kisukari halafu coments anazoandika yeye sasa ni comedy tosha🤣
Haina comeback hii🤣🤣🤣Sawa Priscila
FactJux ni mtumwa wa mapenzi mwanaume kamili huwezi kukaa kwa wakwe zako na akili yako kuendeshwa na wao so hapo ujinga upo kwa mhusika mwenyewe
hayo mapumbavu yaende ccm yakasaidiwe kuhusu kukonda kwaoTusimame na huyo takataka mshkaji ake domo aliyetutusi kuelekea oktoba 29?
kabisa wamtetee mnengua viuno vyao.Hapa fisiem wasimame nae
Mna muda sana wa kufuatilia maisha ya watu wasiowahusu, wasiowajua, kwa kisingizio cha body language ambayo hamna hata utaalamu nayo.No one is taking anyone down. Uzuri uwezo kusoma body language is a natural trait. Jux"s body language and facial expressions both screams out loud for help. Watu wame pick that cry for help, wamekuja na rescue plan Yao wanasema Free Jux.. How can that be bullying or taking down of a celebrity.
Unaweza usiwapate kwa hela lakini huwezi kuwa keep bila gossip. Ili uwa keep lazima gossip ihusike.. Kumpata mwanamke sio ishu, ishu ni kumkeep.
Nothing on earth can take the place of gossip in an area where gossip works better. Na hakuna eneo ambalo gossip ina work better kama kumkeep mwanamke..
Usipo mpa gossip mwanamke utamboa tu na mwisho wa siku ata enda anchored na mwanaume anae mpa gossip
Hakuna mwanamke juu ya uso wa dunia ambae hapendi gossip.. Unless otherwise mention one of them so that I be sure that you are not talking about a ghost.. Kaka narudia tena human beings brains have been biologically wired to desire to know about other people's affairs.. Wana sayansi na wana saikolojia ya akili ya mwanadamu wanalijua hilo, ndio maana Ma Rais wa nchi wanakuwaga na kitengo maalumu cha watu wa kuwapa gossip.( Mashushu) ambao kazi Yao ni pamoja na kumpa Rais taarifa nyinginezo Ila pia wana mfeed about gossip. Hii ni kwa sababu naturally wanadamu wana desire kujua kuhusu Mambo ya watu wengine lakini pia wana desire kujua watu wengine wanasema ama wanawaza nini kuhusu wao. Hukumbuki hata Mwendazake Hadi alivujisha zile audio za wale wanasiasa wakimzungumzia... All because walio mpa hizo taarifa ni wataalamu walio bobea kwenye human psychology.. Wanajua kila mtu anapenda gossip.
Sia ajabu hata sababu inayo wafanya baadhi ya Marais kunga'ng'ania madaraka ni access ya kupewa gossip za watu mbalimbali kwenye nchi cause gossips are so addicting..
Hao " Sapiosexual" Kinacho wasumbua ni " Ego" tu but in fact hakuna kitu kinachoitwa " Sapio.sexual". Most of the time hawa ni watu ambao wameumizwa kwenye mahusiano, then wanakuja na story ya kuwa * Sapiosexual" kama njia ya kujifariji na at the same time wakitumia jina hilo kuwa belittle ma ex wao kwamba hawakuwa intelligent enough to keep them
🤣🤣🤣🤣 yaani alikwenda nao sambamba hakutaka unyonge.😂😂😂 unajiuliza huyu ana interest gani kwenye hili?
Huo msemo wa "wasanii ni kioo cha jamii" ni ujinga wa mabaki ya ujima tu.Hujawahi sikia msemo " Wasanii ni kioo cha jamii"?
Jamii inaweza kujifunza kupitia makosa ya wasanii. Inaweza kujifunza kupitia mazuri waliyo yafanya.
Kwa hiyo kwa kusema hivyo nilivyo sema, nimejifunza kupitia ishu ya Jux 👇
" Never joins another person's family ". Start your family instead.
Mkuu. " I don't give a damn attitude " " Mind your business attitude " Do not operate in Africa..
Sisi ni wajamaa. Sio wabepari. We are generously..
Yes it may be working or operating in the US but not in Africa.
Something which might be good in the village ( Tanzania) may not be good in town ( US)
I hope u get me welloo
Una options chacheKuuuma zote hizi unaruka mpaka Nigeria kufata kitobo tu, Mimi hata kuoa kata nyingine siwezi achilia mbali wilaya
manamake ya West Africa ndio yote yalivyo..halafu mengi yao mabayaaaKimapenzi wanawake wa Nigeria wanapenda kutawala na kutoa amri, yaani awe juu ya mwanamume, anauwezo wa kukwambia simtaki mama yako aje hapa na utafanya hivyo. Wabinafsi wanaojipenda sana wenyewe, tena ukimpata mwenye pesa ndio ujue umekwishaaaaa. Wanakabaaaa balaaa, hupati muda wa kuwa peke yako lazima ajue uko wap, na nani na unafanya nini. Simu yako ni yake!!!
Aisee 😂😂😂 kumbe unawajua wewe vizuri. Good manipulators.Madai yake Vee asimuone boyaa😂😂🤣🤣
Kwa jinsi navyowajua wanigeria hata huyo Vanessa anateseka kichizi, Wana manipulate balaa
Wote wangese tu Vee na Jukusi, ila kidogo uanamke unambeba Vee
Kaka mkubwa hizi sindano za moto sana, tupunguzie doziMna muda sana wa kufuatilia maisha ya watu wasiowahusu, wasiowajua, kwa kisingizio cha body language ambayo hamna hata utaalamu nayo.
Ni umbea tu.
Nyie wabongo mmeshindwa kujisaidia wenyewe msitekwe na kuuawa na Samia na CCM mnataka kumsaidia Jux?
Mmeuawa kama kuku na mpaka leo hamna hata mtu mmoja aliyewajibishwa, hamjafanya kitu.
Mnatekwa na kufirwa kama sex slaves. Hamjafanya kitu.
Leo mnataka kumsaidia Jux katekwa?
Acheni umbea.
Mkuu Kiranga narudia tena.. Tabia ya watu kupenda kufatilia maisha ya watu wasio wahusu na wasio wajua ni tabia ya asili ya mwanadamu hawezi kuiacha hata iweje. Kuna watu wametengeneza ma milioni kwa kucapitalize kwenye hiyo fact ( Shigongo mmoja wapo) . Hata wewe unapenda kufuatilia maisha ya watu usio wajua wasio kuhusu.. Unaweza kusema hufuatilii maisha ya watu ( Consciously) ila unconsciously unapenda kufuatilia maisha ya watu and I can prove it to you.. Kitendo cha wewe kuwaambia watu usio wajua waache kufuatilia maisha ya watu wasio wajua kina thibitisha kwamba unapenda kufuatilia maisha ya watu usio wajua ( unconsciously)Mna muda sana wa kufuatilia maisha ya watu wasiowahusu, wasiowajua,
kwa kisingizio cha body language ambayo hamna hata utaalamu nayo.
Ubongo wa mwanadamu umekuwa biologically wired katika namna inayo mfanya mwanadamu kuchagua jambo rahisi kuliko gumu. Mtu akiwa anatembea njiani akakuta sehemu kuna upande kuna matope na upande mwingine hauna matope atachagua kuuacha upande wenye matope na kwenda upande usio na matope. All this kwa sababu akili ya binasamu haipendi kujichosa na mambo magumu ambayo yapo juu ya uwezo wao. Ni rahisi sana kwa wa Tanzania kusema Jux amekonda au Free Jux kuliko kuwatoa CCM madarakani.. Hilo la kutaka kuwatoa CCM madarakani tuna waachia nyie ma genius ambao mnapenda kujistress. Sisi hatupendi kujistress.Ni umbea tu.
Nyie wabongo mmeshindwa kujisaidia wenyewe msitekwe na kuuawa na Samia na CCM mnataka kumsaidia Jux?
Mmeuawa kama kuku na mpaka leo hamna hata mtu mmoja aliyewajibishwa, hamjafanya kitu.
Mnatekwa na kufirwa kama sex slaves. Hamjafanya kitu.
Leo mnataka kumsaidia Jux katekwa?
Acheni umbea
Ukweli ni ukweli tu. Hata nisipousema, ukweli haubadiliki kwa sababu mimi sijausema tu.Kaka mkubwa hizi sindano za moto sana, tupunguzie dozi