Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

Joined
Nov 26, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Jux ndio muanzilishi wa kampeni ya 'Unfollow Davido' kule instagram. Jana SAA NNE usiku ndio alipost kampeni hiyo ikiwa ni dakika 20 tangu Davido a post ile sentensi. Watu wakaanzia pale na hatimaye hali ipo kama ilivyo.

Sasa ukimu-unfollow davido unapata faida gani..? Au unahisi unamkomesha? Leo hao jao wanaoporomosha matusi na ku-unfollow ndio wa kwanza kucoment leo mchana pale Davido alipopost picha ya range rover yake mpya. Sasa majirani zetu wakenya na waganda wamegeukia upande wa Davido na wanatucheka kwa kushindwa kuelewa hata simple English aliyoitumia Davido.

davido.png
 
Hao wakenya wanajishebedua tu

Kwa kipi cha kuongoza ea????
 
Hao wa Kenya watizame Yao uko, pili pili uso ila inakuwashia nini? Nawao kwakujikomba .....
 
Hahaha. .wauza sura bhana. .me nawachukia zaidi ya mimba mnazotoa. .eeeh kulikoni imetokea nini mbn wanalumbana awa faces sell
 
Aya mama weee, kumbe uganda wako njema kuliko sisi? Kuna fununu nasikia hata rwanda nao wanapiga endicator
 
mi yoote yule yapite ila yule aliyetukana nimemuona hana akili ht ya kuvaa chupi
davido nimefurahi kajibu kihekima sana na nimenza kumfollow leo huko ig
 
ukitaka kuona jinsi watanzania tulivyo na akili ndogo we ingia tu instagram..hi nchi kuja kupata maendeleo itatuchukua miaka ming sana..
 
mi yoote yule yapite ila yule aliyetukana nimemuona hana akili ht ya kuvaa chupi
davido nimefurahi kajibu kihekima sana na nimenza kumfollow leo huko ig

nimecheki instagram yani waganda full #weloveudavido ha ha ha hii muvi mi niko neutral naangalia tu watu wanavyo rushiana maneno.
 
Granta

bora unisaidie kushangaa mwenzangu.
Wamezoea wao ndio wanajiona wanastahili.
Roho imewauma kweli, diamond kamshinda davido na idris nae huyooo.
Wakendreeee
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi hawajitambui kutwa kushabikia mambo ambayo hata maana hayana.
 
Kuna wajinga wachache wanatuchoresha sana...kuna watu wanamwaga mitusi kwa kitu kidogo na davido kuonyesha umwamba katupia mndinga huku wajinga kina dj choka wamekazania unfollow davido. .leo nimegundua kuna mapimbi kuwa na followers wengi ndo good life ndo maana wanadhani kumunfollow davido ndo adhabu. ...
 
suala la ushamba waqti mwingi ni kujitambua na si kuzaliwa au kutembea hata new York, California na rome utawakuta washamba.
 
Back
Top Bottom