Jux ndio muanzilishi wa kampeni ya 'Unfollow Davido' kule instagram. Jana SAA NNE usiku ndio alipost kampeni hiyo ikiwa ni dakika 20 tangu Davido a post ile sentensi. Watu wakaanzia pale na hatimaye hali ipo kama ilivyo.
Sasa ukimu-unfollow davido unapata faida gani..? Au unahisi unamkomesha? Leo hao jao wanaoporomosha matusi na ku-unfollow ndio wa kwanza kucoment leo mchana pale Davido alipopost picha ya range rover yake mpya. Sasa majirani zetu wakenya na waganda wamegeukia upande wa Davido na wanatucheka kwa kushindwa kuelewa hata simple English aliyoitumia Davido.
mi yoote yule yapite ila yule aliyetukana nimemuona hana akili ht ya kuvaa chupi
davido nimefurahi kajibu kihekima sana na nimenza kumfollow leo huko ig
mi yoote yule yapite ila yule aliyetukana nimemuona hana akili ht ya kuvaa chupi
davido nimefurahi kajibu kihekima sana na nimenza kumfollow leo huko ig
bora unisaidie kushangaa mwenzangu.
Wamezoea wao ndio wanajiona wanastahili.
Roho imewauma kweli, diamond kamshinda davido na idris nae huyooo.
Wakendreeee
Kuna wajinga wachache wanatuchoresha sana...kuna watu wanamwaga mitusi kwa kitu kidogo na davido kuonyesha umwamba katupia mndinga huku wajinga kina dj choka wamekazania unfollow davido. .leo nimegundua kuna mapimbi kuwa na followers wengi ndo good life ndo maana wanadhani kumunfollow davido ndo adhabu. ...