Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

ila uganda hawajatupita kwa uchumi wala kwa lolote..

na pia nyie mlitaka davido amtetee mTz badala ya mNiGeRiA MWENZAKE.?
 
Kwan kulikua na ulazima wa kukosoa au kucfia ?

Uyo mkenya Omar Mbna alinielewa Jana

Davido ana tabia za kidada kudis dis ovyo
 
Nikitoka hapa break ya kwanza ni kum-follow davido,
 
Nikitoka hapa break ya kwanza ni kum-follow davido,

mi nshamfollow toka jana
semeeeeni weeeeeee,tukaneniiii weeeeeee
ila skelewiii mwanangu anavyolikubali ntacheza tu
mi kimenikera matusi
 
Ndio tabia ya watanzania kushikilia na kupigia kampeni maswala ya kipuuzi...mnaacha kuweka maandamano mmeibiwa mabilioni mnaanzisha vitu vya kipumbavu nakushukuru uloweka hii post maana nilichukizwa saana na wale waliopost matusi na hasa DJ CHOKA NA OMMY DIMPOZ HAWANAAKILI
 
Insta', fb sijui na upuuz gani mwengine acha tu niusikie kwenye bomba, na waniite tu mshamba lakini sitafika upande huo kabisaaaa.... #JFYATOSHA .kuna issue zinalitafuna taifa hawazishikii bango wanashabikia uji.nga tu. tunaibiwa pesa zetu za kodi kila siku, hospitalini hali mbaya, elimu iko hoi, mfumko wa bei juu, ajira hakuna, kodi utitiri kila siku inazaliwa mpya...haya hawayaoni wanashabikia upuuzi tu.
 
Wakenya sijui yakoge kujipendekeza tuu watutokee hapa
 
Mimi nakereka sana na hizi kampeni za kuhamasishana kushabikia mambo ya KIPUUZI yasiyo na faida kwetu, wakati ishu za maana kama ESCROW watu wamekuwa kimya kama hakuna kilichotokea. Sisi wabongo sijui nini ni vipaumbele vyetu.
 
tumechoshwa na esikroo isiyofanyiwa maamuzi. wacha turelax
 
Mimi nakereka sana na hizi kampeni za kuhamasishana kushabikia mambo ya KIPUUZI yasiyo na faida kwetu, wakati ishu za maana kama ESCROW watu wamekuwa kimya kama hakuna kilichotokea. Sisi wabongo sijui nini ni vipaumbele vyetu.

Wewe uliyeshabikia ESCROW umepata nini? Si atleast hata uwashabikie wa kina Diamond wanaokupa burudan na kukusahaulisha stress za maisha
 
Huyo mkenya aliyeandika hiyo comment mngese, Uganda toka lini wakatuzid kiuchumi?
 
Sasa na yeye anatamba kujua Kiingereza halafu anaandika Kiingereza cha hovyo! Mtu anayejua Kiingereza hawezi kusema "Tanzanians they...."
 
Vidole havifanani lakini huyo hajui anachosema na hajawahi kufika Nigeria 38times richer si kweli na tangu lini Uganda is ahead of Tanzania
 
Tatizo la bongo yupo Instagram hata haelewi kakuta mtu katusi yaani anaendelea chini yake f.....k u sasa ukimuuliza wa next anatoa mijicho tuu.Hahahaha kweli watanzania tupo bado Stone Age.:becky::becky:
 
wewe ni c.uma. wewe wala sio mtanzania.
 
wewe ni c.uma. wewe wala sio mtanzania.
Nenda Instagram kasome wabongo tunachopost.............................................................................................................................................................................................................................then come back.
 
huyo mkenya alie post kumfangilia davido ni maku tu
 
Hivi ukishamu_unfollow davido anaongea wapi? Kwanza hajui hata kama una exist... Lazima tujifunze kufikiria mara mbili kuchukua hatua ya kumtukana hakusaidii kitu zaidi tunazidi kujionesha tulivyo majuha.
 
Ukweli uko wazi kenya uchumi wao uko juu kuliko uganda na uganda uchumi wao uko juu kuliko TANZANIA.. Samsung wana mpango waku fungua kiwanda cha simu zao kenya in future, uganda wana aanza ku manufacture magari muda si mrefu na sample zilisha toka.... Tanzania Escrow wana endelea ku gawana hela... ukweli ni kwamba wa bongo tuna ropo ropo sana, maneno pipa zima... kwaheri!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…