Jux: Kweli Jack Patrick ni mpenzi wangu

Jux: Kweli Jack Patrick ni mpenzi wangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Nitasubiri, Juma Khalid ' Jux' , kwa mara ya kwanza amevunja ukimya na kufungukia penzi lake na modo anayedaiwa kufungwa nchini China kwa msala wa madawa ya kulevya ' unga ' , Jacqueline Fitzpatrick Cliff ' Jack Patrick ' .

Jux ambaye anasoma nchini China huku akifanya muziki wa Bongo Fleva, alifunguka hayo juzikati katika ' exclusive interview' aliyoifanya na mwanahabari wetu alipokuwa mjini Kahama alipokwenda kwenye Serengeti Fiesta 2014.

Akijibu swali la mwandishi wetu lililomtaka afungukie penzi lake na Jack ambalo alikuwa akichengachenga kila alipotakiwa kutoa ufafanuzi na vyombo vya habari, Jux alianza kwa kukiri kwamba mrembo huyo alikuwa mpenzi wake na walidumu kwa takriban miezi saba kabla hajakutwa na msala wa madawa ya kulevya.

Alisema tangu aanze kuyajua mapenzi, Jack alikuwa ni mwanamke wa pekee kwake ingawa wakati anapatwa matatizo walikuwa wametibuana kwa kipindi cha wiki mbili.

"Nilisikitika sana niliposikia amekamatwa kwa madawa ya kulevya, nilikuwa sijui kama anafanya hiyo biashara na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nilikuwa najua yupo Bongo na nikajua tutaonana maana mimi nilikuwa Bongo wakati huo, " alisema Jux.

Alipoulizwa kama ana taarifa za Jack kufungwa miaka sita jela kama ilivyoripotiwa wiki iliyopita, Jux alisema hana taarifa hizo.

"Kiukweli sijazipata habari hizo labda nitakapoenda tena China ndiyo nitajua kupitia kwa mwanasheria wake maana kwa sasa hajanipa taarifa na hana namba yangu ya simu ya hapa , " alisema Jux.
 
Mmh!! Na wewe jux ebu acha usanii, ina maana mitandao yote hiyo hujasikia kama jack kafungwa mpaka uende china? halafu si ulikataaga wewe kuwa usiulizwe kuhusu jack , sasa imekuwaje?
 
Mmh!! Na wewe jux ebu acha usanii, ina maana mitandao yote hiyo hujasikia kama jack kafungwa mpaka uende china? halafu si ulikataaga wewe kuwa usiulizwe kuhusu jack , sasa imekuwaje?

aisee jacky nae!mbona jux mtoto...?!!!
 
Mmh!! Na wewe jux ebu acha usanii, ina maana mitandao yote hiyo hujasikia kama jack kafungwa mpaka uende china? halafu si ulikataaga wewe kuwa usiulizwe kuhusu jack , sasa imekuwaje?

Huyo jux ni chips mayai tu hana lolote
 
Tulimuona sana wolper mtaani kwetu akishinda kwa jux..akafata jack patrick saivi vanessa mdee bby...mjini patamu sihami mweee

Mmh vannesa nae na ucheusi dawa wake siku izi kaanza umalaya si anatoka na ommy dimpozi huyu? Mmh
 
Wavaa mlegezo wanasifika kwa kulamba papuchi mwanzo mwisho huoni kila saa wanalamba lips 2,wengi mchelemchele mpka mtu awaboost ndio wasimamishe hao

Wabustiwe kivipi tena ebu tufafanulie
 
Attachments

  • 1408777241330.jpg
    1408777241330.jpg
    57.9 KB · Views: 696
Vanessa mwe walikua wote insta party....samak samaki ya mcty last week...dukan kwa wifi ake aishi kwenda...daily yan....na home kimara kwa kina jux keshafika,...we unadhan hapo ni nini??
 
Huyo jux na zake zinahesabika, yeye si ndo alikuwa distributor wa hiyo sembe. Jack alikuwa anaifikisha Guangzhou kupitia either macau au hong kong yeye ndo anaisambaza kwenda Beijing, Tianjin na miji mingine. Anajifanya mwanafunzi wakati hakuna mtu anayejua anasoma chuo gani, wala hakuna washkaji zake waliowahi kusikia siku flani ana class au ana pepa. Ajichunge sana, yuko under spotlight. Tangu pusher mwenzake adakwe anajifanya mda mwingi yupo Tanzania, ramani imeungua.
 
Mmh!! Yani wasanii kiboko si anajifanya apo eti alikuwa hajui kuwa jack anauza unga , da kweli jamaa kaua
 
Huyu jack si alishaolewa, kaachika tena amaa???
 
Huyu jack si alishaolewa, kaachika tena amaa???

Best na wewe upo dunia ya ngapi? Waliachana mda kabla hata ya kwenda jela, bibie kaona madawa ndo habar ya mujini yakamkuta na kumkuta sasa ivi ananyea debe
 
Best na wewe upo dunia ya ngapi? Waliachana mda kabla hata ya kwenda jela, bibie kaona madawa ndo habar ya mujini yakamkuta na kumkuta sasa ivi ananyea debe

Lkn si hata huyo bwana'ke alikua mzee wa unga...?
 
Back
Top Bottom