Jux: Kweli Jack Patrick ni mpenzi wangu

Jux: Kweli Jack Patrick ni mpenzi wangu

Ndo kilichompeleka jela, mama madawa baba nae madawa, ndoa yao ilikuwa ya kihalifu sijui toto lingekuaje
Huyu si nasikia ndio alimuunguza Fundikira kwa mamwela ili ammalize msela hakujuwa Karma is a bitch?
 
scratching-head-smiley-emoticon.gif
scratching-head-smiley-emoticon.gif
scratching-head-smiley-emoticon.gif
scratching-head-smiley-emoticon.gif
scratching-head-smiley-emoticon.gif
scratching-head-smiley-emoticon.gif
 
Mmh vannesa nae na ucheusi dawa wake siku izi kaanza umalaya si anatoka na ommy dimpozi huyu? Mmh

Hujui?yani nimemdharau sana Vanessa nilikua namuonaga mdada mwenye heshima zake....
 
Mmh mjini kudhuli jamani siendi kijijini. Ng'o. Hata kwa viboko stori tamutamu
 
Back
Top Bottom