strugo
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,235
- 1,839
Duu kiboro dinda kisha dinda hata cjakuona!!
acha uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu kiboro dinda kisha dinda hata cjakuona!!
[emoji1] [emoji1] babu banaDuu kiboro dinda kisha dinda hata cjakuona!!
acha uongo
Njoo PM wahenga wanaokota ubuyu hapa bure bure
Kama demu wako?Hawaendani hata kidogo demu wa ovyo ka komaa kama kisigino cha mmasai
acha uongo
Hawaendani hata kidogo demu wa ovyo ka komaa kama kisigino cha mmasai
acha uongo
Kwa io in short ni kwamba jux BWABWA?Na jux mwenyewe kalegea mikono na midomo kama Elton John
Tizama hapa kinachosadikiwa kua mwanzo wa marudiano ya wawili hawa.
Ni baada ya Vanessa kushinda jiwe bora la mwezi linalotolewa na clouds FM na kumuomba JUX kupanda nae stegin.
Mahug kibao na kelele nyingi from Raiaa. Wacha tuoni whats gonna happen
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tu upo JF??[emoji22][emoji22]........Rafiki nifanye nini hata uweze kuzijua sheria za JF???[emoji32][emoji32][emoji32]
Wacha we!!Jux wenyewe hajui kuimba kama Shilole