Jux: Siyo vizuri Mashabiki kuwa na chuki na sisi wasanii wao

Jux: Siyo vizuri Mashabiki kuwa na chuki na sisi wasanii wao

Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux



hivi kwani nyie mmeshawahi wasapoti hao mashabiki zenu wakati wa shida zao kwani?
kila mtu ale alikopeleka mboga ..... *****
 
Utashangaa mbeleni huko anakuwa mbunge au waziri wakati kichwani mweupe sana, huyu na vanessa mdee kweli walikuwa hawaendani.

Anaongea kama mtoto wa form 1.
 
Kwenye meno ameweka Nini KINACHO sababisha lips zibinuke kama amelamba mavi?
 
Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux



Waliko fanyia kampeni kuna mashabiki m32 wanawatosha kabisa aache kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom