Jux : " Trey songz ni mmerekani mwenye uswahili ndani yake

Jux : " Trey songz ni mmerekani mwenye uswahili ndani yake

Conversation ya kupangwa kabisa yenye lengo la kiki
 
IMG-20161007-WA0020.jpg

Cc jux
 
Kiufupi jux atafute demu A naejielewa hichi kidemu umarekani mwingi akina ata mia
 
ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe
au kata mgonjwa uufiche mtaani usishindaniwe
wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee
haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume
kumegewa ni jambo moja kukimbiwa ushafkiria?
sio kila demu umuonae unaweza muoa
eti nizibe maskio!
wengine nifumbe macho!
nisione wakati naibiwa?
hamuwezi kuwa hamjalewa
mi nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi!
so miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa lini!
 
Back
Top Bottom