Jux vs Ben Paul

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Habari wana jamvi kama title inavyosema hapo juu nahitaji kujadiliana nanyi kuhusu hawa watu wawili nan mkali kuliko mwengine??

Karibuni
 
Mbona Jux kashakupa jibu we angalia kwenye hiyo picha kidole chake kimemuonyesha nani..yani umemaliza booklet la kwanza unataka na booklet la pili..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jux yuko juu sana...hajawahi msanii wa TZ kufanya pure RnB na akafanikiwa wengi huishia ku mix afro fusion ndo wadumu

Hata huyo Ben Pol ana mix pia la ladha zingine
hafanyi pure RnB.....

Jux ni mkali saana
 
Masikio yanatofautiana sasa huu ubishi wenu sijui kama mtapata jibu. Au mna mpango wa kuanzisha timu. Vizuri afadhari timu ziwe nyingi, sio Simba na Yanga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…