Jux vs Ben Paul

Ben Pol Songs...
  • Nikikupata
  • Maneno
  • Number one fan
  • Pete
  • Samboira
  • Jikubali
  • Sophia
  • Maumivu
  • Moyo mashine

Jux songs

  • Sisikii
  • Nitasubiri
  • One more night
  • Wivu
  • Napata raha
  • Uzuri wako
  • Nikuite nani
  • Looking for yuh
  • Mwambie yeye
Hata nikijaribu kufanya comparison ya wimbo mmojammoja katika nyimbo zao nashindwa kupata namna ya kumuweka Jux mbele ya Ben Pol..!!!
Msanii wa Muziki MKALI kuliko wote Tanganyika ni Ben Pol...
Msanii wa Muziki MKUBWA kuliko wote Tanganyika ni Diamond Platnumz..!!!
Over!!!
 
Jux anapanda wakati Ben pol anashuka(mtazamo wangu). Hiyo ndo tofauti yao, otherwise wote ni wakali
we jamaa haufatili mziki moyo mashine inahit tz nzima kila kona we unasema anashuka nazani huyo jux anapesa za china ndo ambazo zitamfanya asiteteleke kiraisi ata hivy wangetengeneza team ili watengeneze pesa zaidi na watrend zaidi kama mond na kiba habari za kupiga picha pamoja kutokujielewa mawaz yangu
 
Kwa anayejua ladha ya R & B atamkubali Jux,ila kama ni yule anayependa mchanganyiko wa ladha atamkubali Ben Pol, huu ndio ukweli ambao watu wengi wanawaonea aibu kuwaambia, mimi nimewapa siri hiyo ichukueni.
 
Kwa anayejua ladha ya R & B atamkubali Jux,ila kama ni yule anayependa mchanganyiko wa ladha atamkubali Ben Pol, huu ndio ukweli ambao watu wengi wanawaonea aibu kuwaambia, mimi nimewapa siri hiyo ichukueni.
Kwani Ben Pol anafanya muziki wa aina gani..!?
 
umemkosea sana adabu ben pol...mtaka radh tafadhali
 
ben paul ni mkali sana, jux hafiki kwa mshkaji honestly. hata ukicompare nyimbo zao moja moja, hakuna ngoma ya jux kali kuliko yoyote ya benpaul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…