Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
KwikwikwiMbona Jux kashakupa jibu we angalia kwenye hiyo picha kidole chake kimemuonyesha nani..yani umemaliza booklet la kwanza unataka na booklet la pili..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwikwikwiMbona Jux kashakupa jibu we angalia kwenye hiyo picha kidole chake kimemuonyesha nani..yani umemaliza booklet la kwanza unataka na booklet la pili..
kwa nn?Ben Paul hawez kuingia kwa jux
we jamaa haufatili mziki moyo mashine inahit tz nzima kila kona we unasema anashuka nazani huyo jux anapesa za china ndo ambazo zitamfanya asiteteleke kiraisi ata hivy wangetengeneza team ili watengeneze pesa zaidi na watrend zaidi kama mond na kiba habari za kupiga picha pamoja kutokujielewa mawaz yanguJux anapanda wakati Ben pol anashuka(mtazamo wangu). Hiyo ndo tofauti yao, otherwise wote ni wakali
Huyu jamaa sijui anakwama wapi ..... kichwa fulani hivi kikali sana kwenye hizi mambo.Mkali Belle 9
Kuna mdau kataja r&b pure ikabidi nikubali tu.
Kwani Ben Pol anafanya muziki wa aina gani..!?Kwa anayejua ladha ya R & B atamkubali Jux,ila kama ni yule anayependa mchanganyiko wa ladha atamkubali Ben Pol, huu ndio ukweli ambao watu wengi wanawaonea aibu kuwaambia, mimi nimewapa siri hiyo ichukueni.
R & B, anaichanganya na ladha za kiafrika kimtindo, lakini Jux ni pure R & B.Kwani Ben Pol anafanya muziki wa aina gani..!?
Dah unafaidi,maana mkunwa na mkunaji anaefaidi ni mkunwa.Kijana Ben pol ananikuna sana hasa kwa wimbo wake moyo mashine.
Hawa ni akina nani??Habari wana jamvi kama title inavyosema hapo juu nahitaji kujadiliana nanyi kuhusu hawa watu wawili nan mkali kuliko mwengine??
View attachment 390427
Karibuni