Watoto wa Makonda!Hawa ni akina nani??
Na nuruel ndo baba yaoBen pol ni zaid ya Juz ila {Rama dee} ni zaid ya wote.
Tatizo nyotaHuyu jamaa sijui anakwama wapi ..... kichwa fulani hivi kikali sana kwenye hizi mambo.
Kweli kabisa hasa moyo machine, no one fanben paul ni mkali sana, jux hafiki kwa mshkaji honestly. hata ukicompare nyimbo zao moja moja, hakuna ngoma ya jux kali kuliko yoyote ya benpaul.
Rama D is a king of Rnb in TzBen pol ni zaid ya Juz ila {Rama dee} ni zaid ya wote.
jux kwa nyimbo gani amzidi ben pol hebu acheni ujinga ben pol fundi kila idara na hakosei
Tutolee ushamba wako na ww, hujui mziki kaa kimyaKuimba tu haitoshi jux anaishi maisha yakistar anamiliki vitu vya maana so yy ndio aliemkali
Hahaaa hata kuquote hujuiSasa wewe unaejua mziki uku jf ndio studio?