Jux vs Ben Paul

Jux vs Ben Paul

Ma no. One fan tatizo ni wee ulofanya anitosee, wakati bado nampendaa nafsi imejawa upendo wakee.. Aah huu wimbo huwa unanikuna Sana Kati ya ngoma za Ben mwenye audio yake aniekee pls[emoji120] [emoji120] .. Ben ni wa pili kwa Rnb Tz baada ya Rama d
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji118] for Ben
 
Jux anawill power nzuri kuliko ben paul
 
Sasa wewe unaejua mziki uku jf ndio studio?
 
Back
Top Bottom