Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Huyu Kingwendu wa hapa Mwanerumango Kisarawe ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute kingwendu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute kingwendu
Labda kuvaa na zile safari zake za China!. jux alichomzidi Ben ni kuvaa na dem mkali
Jux wa kawaida,anaimba kama alivokua anatoka...hajataka kubadilika wala kukua kisanaa na ubunifu hadi mmakonde kamzidi!Kwenye chorus ben pol yuko vizuri ila kwa nyimbo jux yuko vizuri ingawa hana nyota.
Yaani vannesa ndiye demu mkali ... utakuwa unatania mkuu
Yeah yule alikuwa mzuri sanaNazan alikuwa anamaanisha yule jack aliekamatwaga na unga, now that was one fine woman
Sikulaumu tatizo upeo wako mdogo,ila inawezekana hayo mawazo yamekutawala na kimtawalacho mtu kichwani ndicho mara nyingi akifanyacho,grow up dude this is JF upuuzi wako peleka huko fb na insta.
hebu nipe maana ya maneno uliyoandika nakunukuu"" Ben Paul ni fire""Sikulaumu tatizo upeo wako mdogo,ila inawezekana hayo mawazo yamekutawala na kimtawalacho mtu kichwani ndicho mara nyingi akifanyacho,grow up dude this is JF upuuzi wako peleka huko fb na insta.
Mjinga hapewi maana,kimtawalacho mtu kichwani ndicho mara nyingi akifanyacho .hebu nipe maana ya maneno uliyoandika nakunukuu"" Ben Paul ni fire""
Kuwa mjanja siyo kuchanganya lugha. yawezekana ulikuwa na dhamira ya kutoa ujumbe fulani. Jifunze matumizi ya Lugha sahihi.
ni fire ndo nini?
Sent using Jamii Forums mobile app