Jux vs Ben Paul

Sikulaumu tatizo upeo wako mdogo,ila inawezekana hayo mawazo yamekutawala na kimtawalacho mtu kichwani ndicho mara nyingi akifanyacho,grow up dude this is JF upuuzi wako peleka huko fb na insta.
hebu nipe maana ya maneno uliyoandika nakunukuu"" Ben Paul ni fire""

Kuwa mjanja siyo kuchanganya lugha. yawezekana ulikuwa na dhamira ya kutoa ujumbe fulani. Jifunze matumizi ya Lugha sahihi.

ni fire ndo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga hapewi maana,kimtawalacho mtu kichwani ndicho mara nyingi akifanyacho .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…