yaani week end yangu yote wameniharibia,sina hata cha matanga wala nini,mnamuwachia mungu tu!!!
nasubiria picha
nahisi anahitaji ya nyumba ili ajue kwamba sipo uswahilini.Picha ya nyumb, fence ama ya dirisha lililoibiwa?
asant mkuu!!!Pole sana mkuu
Picha ya nyumb, fence ama ya dirisha lililoibiwa?
yah najua hilo,ila nahiisi mpk uwe umeinstall software husika,mimi nilikuwa nimeweka avg so nimeilock tu,kwa sasa na nimeacha ujumbe wa maandishi kwenye sceen ya simu,kwa kifupi hatoweza kuitumia yoyote atakayobahatika kuipata
ah sasa akinirudishia si ntamkamata,bas tena atenda kuuza battery na memory card simu ataenda kuwauzia watu wanaonunua simu mbovu k/koo apate hata 5000Itabidi akurudishie mwisho wa siku