Juzi ndio nimeshuhudia mtu akimsaliti mmewe live live

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
11,145
Reaction score
3,822
Juzi bwana nimepanda zangu daladala la kisemvule Gerezani sikupata siti nikasimama zangu mbele yangu

Akasimama mdada kavaa baibui ana mzigo wa haja

Mi sina ili wala lile nikashangaa gari linapozidi kwenda na yeye ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi

Heee kumbe siti ya mbele alikuwa kakaa mume wake amembeba mtoto na Mimi nimekuja kushtuka wanashuka wote vikindu

Jamaa wanaongozana wote duh nlishtuka balaa

Nikasema wanawake wanawezaje yupo sehem karibu na mmewe alafu amtegeshee mtu zigo namna Ile maana hadi kukata kimtindo alikuwa ananikatikia si unajua mbanano
 
Juzi bwana nimepanda zangu daladala la kisemvule Gerezani sikupata siti nikasimama zangu mbele yangu akasimama mdada kavaa baibui ana mzigo wa haja mi sina ili wala lile nikashangaa gari linapozidi kwenda na yeye ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi

Heee kumbe siti ya mbele alikuwa kakaa mume wake amembeba mtoto na Mimi nimekuja kushtuka wanashuka wote vikindu jamaa wanaongozana wote duh nlishtuka balaa nikasq wanawake wanawezaje yupo sehem karibu na mmewe alafu amtegeshee mtu zigo namna Ile maana hadi kukata kimtindo alikuwa anankatikia siunajua mbanano

100% ni mawazo yako.
ule ni mzigo wake (mwanamke) na haumlemei. Kuna mda unaweza hata akajibana sehem na hasihisi.

Pia hapo ukute ana mawazo. Vikoba, Hana hela, anatazama wanaume wengine wako na watoto na wake zao kwenye magari Alafu yeye yuko amebanana kwa daladala na mume na mtoto.

Aisee, hawez hata kuhisi umembana au unabambia tako lake.

Wanawake hisia za mapenzi ziko mbali sana.
hilo naomba ulifahamu mwanetu.

Hakuna usaliti hapo.
 
Juzi bwana nimepanda zangu daladala la kisemvule Gerezani sikupata siti nikasimama zangu mbele yangu

Akasimama mdada kavaa baibui ana mzigo wa haja

Mi sina ili wala lile nikashangaa gari linapozidi kwenda na yeye ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi

Heee kumbe siti ya mbele alikuwa kakaa mume wake amembeba mtoto na Mimi nimekuja kushtuka wanashuka wote vikindu

Jamaa wanaongozana wote duh nlishtuka balaa

Nikasema wanawake wanawezaje yupo sehem karibu na mmewe alafu amtegeshee mtu zigo namna Ile maana hadi kukata kimtindo alikuwa ananikatikia si unajua mbanano
Ungemuuliza kama hata watoto walionao wamewapata na huyo mumewe?
NB:Haukumdunga kristapeni ya ghafla humo kwenye usafiri mkuu?
 
100% ni mawazo yako.
ule ni mzigo wake (mwanamke) na haumlemei. Kuna mda unaweza hata akajibana sehem na hasihisi.

Pia hapo ukute ana mawazo. Vikoba, Hana hela, anatazama wanaume wengine wako na watoto na wake zao kwenye magari Alafu yeye yuko amebanana kwa daladala na mume na mtoto.

Aisee, hawez hata kuhisi umembana au unabambia tako lake.

Wanawake hisia za mapenzi ziko mbali sana.
hilo naomba ulifahamu mwanetu.

Hakuna usaliti hapo.
Ahera hakuendeki, dunia haikaliki!Alipatwa na mfadhaikooooo!
 
ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi
😊😊😊😊
Ukute mama wa watu amechoka na njaa kama yote, akapata balance kwako. Ww ukahisi amekupenda.

Wanawake hawa-operate namna hii.
Unaweza ukajisumu ukaomba namba ujaporomeshewa matusi hadi ukashangaa.

Au ukajidai dunga dunga, ukimshafua tu ndio akili zako zinarud kumbe na yeye hakuwa na akili za kimapenzi.
Ukapigwa vibao na raia kiduanzi.
 
Juzi bwana nimepanda zangu daladala la kisemvule Gerezani sikupata siti nikasimama zangu mbele yangu

Akasimama mdada kavaa baibui ana mzigo wa haja

Mi sina ili wala lile nikashangaa gari linapozidi kwenda na yeye ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi

Heee kumbe siti ya mbele alikuwa kakaa mume wake amembeba mtoto na Mimi nimekuja kushtuka wanashuka wote vikindu

Jamaa wanaongozana wote duh nlishtuka balaa

Nikasema wanawake wanawezaje yupo sehem karibu na mmewe alafu amtegeshee mtu zigo namna Ile maana hadi kukata kimtindo alikuwa ananikatikia si unajua mbanano
We bwege hii siyo forum ya watoto
 
Mkuu wewe ndio wale mnaitwa DUNGA DUNGA.

Acha hio tabia, kuna siku moja utadhalilishwa sana utakapokutana na Mwanamke wa uswahilini, na unaweza lipa Fedha kabisa.

Be a Man, control yourself.
 
Back
Top Bottom