Juzi bwana nimepanda zangu daladala la kisemvule Gerezani sikupata siti nikasimama zangu mbele yangu akasimama mdada kavaa baibui ana mzigo wa haja mi sina ili wala lile nikashangaa gari linapozidi kwenda na yeye ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi
Heee kumbe siti ya mbele alikuwa kakaa mume wake amembeba mtoto na Mimi nimekuja kushtuka wanashuka wote vikindu jamaa wanaongozana wote duh nlishtuka balaa nikasq wanawake wanawezaje yupo sehem karibu na mmewe alafu amtegeshee mtu zigo namna Ile maana hadi kukata kimtindo alikuwa anankatikia siunajua mbanano
Ungemuuliza kama hata watoto walionao wamewapata na huyo mumewe?Juzi bwana nimepanda zangu daladala la kisemvule Gerezani sikupata siti nikasimama zangu mbele yangu
Akasimama mdada kavaa baibui ana mzigo wa haja
Mi sina ili wala lile nikashangaa gari linapozidi kwenda na yeye ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi
Heee kumbe siti ya mbele alikuwa kakaa mume wake amembeba mtoto na Mimi nimekuja kushtuka wanashuka wote vikindu
Jamaa wanaongozana wote duh nlishtuka balaa
Nikasema wanawake wanawezaje yupo sehem karibu na mmewe alafu amtegeshee mtu zigo namna Ile maana hadi kukata kimtindo alikuwa ananikatikia si unajua mbanano
Ahera hakuendeki, dunia haikaliki!Alipatwa na mfadhaikooooo!100% ni mawazo yako.
ule ni mzigo wake (mwanamke) na haumlemei. Kuna mda unaweza hata akajibana sehem na hasihisi.
Pia hapo ukute ana mawazo. Vikoba, Hana hela, anatazama wanaume wengine wako na watoto na wake zao kwenye magari Alafu yeye yuko amebanana kwa daladala na mume na mtoto.
Aisee, hawez hata kuhisi umembana au unabambia tako lake.
Wanawake hisia za mapenzi ziko mbali sana.
hilo naomba ulifahamu mwanetu.
Hakuna usaliti hapo.
Unampa onyo mkuu?Afu we jamaa wew
ππππananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi
Jamaa yetu ana moyo wa kujieleza kuhusu dhahma iliyomkumba bila chengachenga.ππππ
Bhana me no comment ππππ€Jamaa yetu ana moyo wa kujieleza kuhusu dhahma iliyomkumba bila chengachenga.
Huna komenti kwa sababu aliuungia mzigo hadi Gerezani na bado alivyoshuka akawa anam-zoom kispoti tu?Bhana me no comment ππππ€
ππππ π π π π Bhana weHuna komenti kwa sababu aliuungia mzigo hadi Gerezani na bado alivyoshuka akawa anam-zoom kispoti tu?
Jamaa apewe cup lake aishi nalo kimtindo tu.ππππ π π π π Bhana we
Cup marangapi....π π π πJamaa apewe cup lake aishi nalo kimtindo tu.
We bwege hii siyo forum ya watotoJuzi bwana nimepanda zangu daladala la kisemvule Gerezani sikupata siti nikasimama zangu mbele yangu
Akasimama mdada kavaa baibui ana mzigo wa haja
Mi sina ili wala lile nikashangaa gari linapozidi kwenda na yeye ananiegeshea mwisho akaniletea mzigo wote makusudi na mimi nikauungia kutokea Gerezani Hadi vikindu nipo hoi
Heee kumbe siti ya mbele alikuwa kakaa mume wake amembeba mtoto na Mimi nimekuja kushtuka wanashuka wote vikindu
Jamaa wanaongozana wote duh nlishtuka balaa
Nikasema wanawake wanawezaje yupo sehem karibu na mmewe alafu amtegeshee mtu zigo namna Ile maana hadi kukata kimtindo alikuwa ananikatikia si unajua mbanano
Mbaga Jr huyu jamaa najua tu alihifadhi hii picha mjongeo kichwan kwake for future usage. πππhadi kukata kimtindo alikuwa ananikatikia si unajua mbanano