Nimegundua wewe unatudanganya
Mwanaume wa rika letu 35+ tuna zaidi ya 100+ yaani wewe hao 11tu ndo povu lakutoka. POLE KWA UBAHILI WA KUTUMIKA.Mie binafsi nimegundua .... Wewe ni jipu.. na Lazima utumbuliwe
Wasichana 11+ nyau wewe
Nilichogundua
Wasichana 11
Tufanye kwa kiwango kidogo umetumia gharama ya gest, chakula, outing kwa kiwango cha chini kwa kila mmoja 500000
Kwa wote 11 umeshatumia 5500000
Ungekuwa na kiwanja bunju chenye msingi
Nimegundua wanaume mlipewa akili ili muiongoze hii dunia ili pawe mahali pema pa kuishi ila imekuwa tofauti. Mnatumia akili yenu kurubuni wanawake na kuwaharibia maisha then mnakaa na kijisifia mnajiona wamaana kuchovya chovya. Na mtachomwa wote kwa Mungu.