Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Nimegundua bado una access ya kuwapata, lakini safari hii lazima ukubali uspare tyre
 
nimegundua utoto unausumbua..maliza tu chuo uje ukutane na changamoto ya life ya kitaa..hutakaa uwaze kufanya huu upupu.
 
hahaha kweli ulikuwa idle uikautumia muda vizuri hahahaha hapo utapata remix tu bila shaka
 
sasa sisi tumegundua vya kutosha emu tuambie na wewe umegundua nini kwenye stori yako
 
nilichogundua wewe ni dhaifu katika mahusiano, kwa maana unawasichana wachache sana...11????
 
Nimegundua wewe unatudanganya


nakubaliana na wewe huyu anatupaza. Na kama ni kweli ni dhahiri ni wale ambao wakipewa namba na demu kuchat kiurafiki tu tayari anakuwa ni demu wake na baadae ex bila ya demu kujua. Hii yote nalaumu vishuri vya chuo na tamthilia za kifilipino.
 
lawama zote kwa serikali! kwa nini hawapanui MIREMBE
 
Nimegundua wanaume mlipewa akili ili muiongoze hii dunia ili pawe mahali pema pa kuishi ila imekuwa tofauti. Mnatumia akili yenu kurubuni wanawake na kuwaharibia maisha then mnakaa na kijisifia mnajiona wamaana kuchovya chovya. Na mtachomwa wote kwa Mungu.
 
Hutufai ktk zama hizi za 'kazi tu'...nyambafu!
 
Nilichogundua
Wasichana 11
Tufanye kwa kiwango kidogo umetumia gharama ya gest, chakula, outing kwa kiwango cha chini kwa kila mmoja 500000
Kwa wote 11 umeshatumia 5500000
Ungekuwa na kiwanja bunju chenye msingi

ila huo ni mfano tu,Ain't it?
 
Nimegundua wanaume mlipewa akili ili muiongoze hii dunia ili pawe mahali pema pa kuishi ila imekuwa tofauti. Mnatumia akili yenu kurubuni wanawake na kuwaharibia maisha then mnakaa na kijisifia mnajiona wamaana kuchovya chovya. Na mtachomwa wote kwa Mungu.

hapana hata wao wamenirubuni,miaka yote hiyo nipo pamoja nao walichochangia kwenye maisha yangiu ni sifuri,,,Mungu kamuumba mwanamke ili awe CHOMBO CHA STAREHE
 
Nimegundua una akili sana mkuu, nami naorodhesha majina ya ma ex wangu natumia kaunta buku quire 4, nipo ukurasa wa 5... Namuomba Mungu litoshe mana kuongeza la pili sio mpango

haha,,,hujamaliza bado kuwaorodhesha?
 
nilichogundua wewe ni domo zege...kwa umri wako unaanzaje kuwa ushagonga mademu 11 tu!!!!!?
 
Back
Top Bottom