Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

nakubaliana na wewe huyu anatupaza. Na kama ni kweli ni dhahiri ni wale ambao wakipewa namba na demu kuchat kiurafiki tu tayari anakuwa ni demu wake na baadae ex bila ya demu kujua. Hii yote nalaumu vishuri vya chuo na tamthilia za kifilipino.

wote ni HITED
 
nilichogundua wewe ni dhaifu katika mahusiano, kwa maana unawasichana wachache sana...11????

ningewaweka hit and run listi ingekuwa ndefu sana mkuu,,hao ni official
 
hapana hata wao wamenirubuni,miaka yote hiyo nipo pamoja nao walichochangia kwenye maisha yangiu ni sifuri,,,Mungu kamuumba mwanamke ili awe CHOMBO CHA STAREHE


Kama wanawake ni chombo cha starehe mbona mkiombwa hela mapovu yanawatoka? starehe si garama bwana? wapeni sasa hizo hela coz starehe ni garama sio mnakuja huku mnatupigia kelelee mara wanawake ombaomba mara sijui wanawake nini. we endelea kuwadharau ipo siku yatakurudi.
 


kuwapa hela kwani ni starehe?
 
Nilichogundua
Wasichana 11
Tufanye kwa kiwango kidogo umetumia gharama ya gest, chakula, outing kwa kiwango cha chini kwa kila mmoja 500000
Kwa wote 11 umeshatumia 5500000
Ungekuwa na kiwanja bunju chenye msingi
We genius sana!!!
 
Mie binafsi nimegundua .... Wewe ni jipu.. na Lazima utumbuliwe

Wasichana 11+ nyau wewe
Umenifurahisha sana, ningejua namba tako ningekurushia vocha kwa kweli. Umewaza nn hadi ukasema nyau wewe
 
Ama kweli, JF cku hz imejaa VIAZI! Kuna cku mimi pia nilitoa shida hapa kati yangu na my wife wangu ili nipate michango ya mawazo as of what to do next, zaidi ya 80% wakachangia kwa mihemko na hivyo kupiga nje! Mleta uzi alikiri tangu mwanzo kuwa ni wazo la kijinga (wakati anaandika tayari alikuwa mjinga) na ameweka wazi pia kuwa shida yake hapa apate maoni yenu juu ya RESPONSE ya ma-ex wake, mijitu inaishia kumdadavua tena yeye mwenyewe! Kwa akili hz tutaendelea kuwagegeda mpaka mkome!
 
Umenifurahisha sana, ningejua namba tako ningekurushia vocha kwa kweli. Umewaza nn hadi ukasema nyau wewe

hahaha,,,we umefurahia nilivyoyukanwa mpaka unataka kurusha vocha?
 

nafuu umeona aseeh,,atu wanaulizwa A wanajiby B... understanding ya watu ni ndogo sana aseeh,,,au vipii
 
A Acha ujinga Tata Soma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…